Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Asiyeelewa kuwa rais ni mtu wa utaani huyo nongwa zitakuja kumuua.Kwa kuwa kila mtu ana tabia yake basi ndio uishi na mwizi mtaani kisa tu watu hatufanani?
Uishi na mbakaji kisa tu kila mtu na tabia zake?
Uishi na mchawi kisa tu ni kila mtu na maisha yake?
Uishi na muuaji jirani kisa tu kila mtu kaumbwa na hulka zake?
Ikifikia hatua hiyo,wewe si mtu hai tena,bali ni maiti inayoishi.
Kawabaguaje??Kubagua wanawake weusi
Siyo kwamba hawaelewi mkuu! Ila chadema wengi ni mbumbumbu na wanafikiri hii nayo ni hoja.Asiyeelewa kuwa rais ni mtu wa utaani huyo nongwa zitakuja kumuua.
Na ni mtu anayejitafutia vidonda vya tumbo visivyo na sababu.
Yeye atutanie sisi tusimtanie!
Atjua yeye,Rais anatakiwa uwe na akili.Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Rangi inaanza kubadilika. Kidogo kidogo tutaelewana tuuMimi hapa mweusi na sijaumia chochote
Labda Kama wee mtoa mada umeumia pole Sana mwanamke mwenzangu
Tena mwisho akasema i mnajua Tena wasukuma!!!!
Alimaanisha wasukuma wanapenda wanawake weupe na aalitania
Au simply wanaweza kusema "it isnt funny at all just ridiculous!..Waswahili wanaita "utani wenye ukakasi. "
..Wazungu wanaita " tasteless jokes. "
..Washauri wamsaidie bwana mkubwa kwasababu hali hiyo imekuwa ikijirudia-rudia.
Hvi na wewe hilo umeliona la ajabu
Sijakupata lengo lako hasa ni lipi, ila kwa kifupi kwa maoni yangu, Magufuli anazidisha utani jambo ambalo halipendezi kama rais, kuna wakati kweli kabisa hapaswi kutumia baadhi ya maneno hadharani, japo lengo Lake ni kufanya utani ili awachekeshe watu.Lugha (kwa maana ya muktadha na maneno) gani sahihi ya kutumiwa na Wagombea Urais kwenye kampeni?
Lugha ya utani?
Lugha ya kudharau?
Lugha ya kubeza?
Lugha ya majigambo?
Lugha ya kutishana?
Au lugha gani?
Nimeshaona siku nyingi how stupid you are.ngoja aendelee kuwabana .Kuongeza chumvi kwa kidonda atawaambia wanafunzi wakike walio na mimba wasikanyange shuleni.
Magufuli is very stupid
Licha ya maneno hayo yeye ameoa mwanamke mweusi na yupo nae hadi leo.