Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

Kuongeza chumvi kwa kidonda atawaambia wanafunzi wakike walio na mimba wasikanyange shuleni.

Magufuli is very stupid
I support him 120% for not allowing pregnant and lactating mothers to attend normal classes, this policy is the policy of mwalimu Nyerere not Magufuli, this is the best policy which fits our African environment, not imposed from outside.
 
this kind of talk against dark African ladies is sad... self african hate...
aibu kubwa hii
But you allow hate among the same people in your country, Kikuyu vs Jaluo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hehehehe halafu jameni mkewe rais Magufuli huwa mweusi, popote alipo huyo mama sijui huwa anawaza nini akiskia hizi kauli. Lazima ni mvumilivu sana maana tunavyowajua wake zetu, kwanza wangu umdhalilishe kihivyo ndio basi kwenye ndoa.
 
Acha ujinga urais ni KITU kikibwa ni alama ya Taifa hayo hata Mwenyekit wa serikali ya mtaa hatakiwi kutamka mnajiabishaa
 
Licha ya maneno hayo yeye ameoa mwanamke mweusi na yupo nae hadi leo.
Point sio kwamba ana mke mweusi, mwenye umbo au makalio ya size flani. Hoja ni kwamba hayo yote ni ku'objectify' wanawake na matamshi kama hayo yanashusha hadhi ya taasisi ya urais. Badala ya kuwaona kama viongozi wenzake(k.m. huyo mgombea ubunge), watumishi wa umma, wanabiashara n.k, n.k yeye haoni cha ziada isipokuwa rangi, umbo na vitu vingine basic kama hivyo.
 
Halafu miafrika bana, humo kwa hao wanaoshabikia hizo kauli kwa shangwe na vifijo kunao wanawake weusi.....hehehe jameni, ingefanyika kwenye mataifa yenye watu wanaojitambua aisei pangechimbika. Kuna mataifa yaani kila tamko unalotoa aidha linakuongezea kura au kukushusha, ila kwetu hapa Afrika, tuko kama misukule, hata mnatukanwa na kukenua meno tu...hehehe
 
As much as you are a Magufuli die hard. You do not have to support everything he says or does.....
 
Ya Tanzania hayawahusu
Wala Twitter haimchagui Rais Tanzania
Magufuli tunamfahamu sie utani wake tunaujua Sisi Watanzania
Wakenya hata mropokeje Haita wasaidia kitu
Wanajikuta wapo concerned kumbe wana lao jambo
 
Hehehehe halafu jameni mkewe rais Magufuli huwa mweusi, popote alipo huyo mama sijui huwa anawaza nini akiskia hizi kauli. Lazima ni mvumilivu sana maana tunavyowajua wake zetu, kwanza wangu umdhalilishe kihivyo ndio basi kwenye ndoa.
Anajua mumewe ni mtu wa extreme jokes, wabongo tunajuana
 
Hehehehe halafu jameni mkewe rais Magufuli huwa mweusi, popote alipo huyo mama sijui huwa anawaza nini akiskia hizi kauli. Lazima ni mvumilivu sana maana tunavyowajua wake zetu, kwanza wangu umdhalilishe kihivyo ndio basi kwenye ndoa.
Huyo mama hanaga furaha siku zote.
Huenda anapitia kipindi kigumu kuliko hata wapinzani wa Tanzania

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 

Mtu binafsi?!Magufuli siyo mtu binafsi.Magufuli ni Rais wa nchi.Kila analofanya na kuongea linafuatiliwa dunia nzima na watu tofauti tofauti pamoja na mashirika tofauti tofauti na kutafsiriwa tofauti tofauti kwa namna yake yenye athari kwa nchi yetu ya Tanzania.Kila analofanya na kuongea linawakilisha Watanzania walivyo.

Rais kuonyesha mapenzi kwa aina fulani ya watu ni udhalilishaji kwa sababu yeye kama Rais hapaswi kuonyesha ubaguzi wa aina yoyote katika watu anaowaongoza.Yeye kwa sababu ni Rais anapaswa kuwachukulia watu wote sawa mbele ya umma.Kama ni mapenzi binafsi anatakiwa kuyaonyesha akiwa nje ya umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…