Mimi hapa mweusi na sijaumia chochote
Labda Kama wee mtoa mada umeumia pole Sana mwanamke mwenzangu
Tena mwisho akasema i mnajua Tena wasukuma!!!!
Alimaanisha wasukuma wanapenda wanawake weupe na aalitania
Mzee wa miaka 61 sidhani kama ni rahisi kumbadili tabia...Waswahili wanaita "utani wenye ukakasi. "
..Wazungu wanaita " tasteless jokes. "
..Washauri wamsaidie bwana mkubwa kwasababu hali hiyo imekuwa ikijirudia-rudia.
Ukiwa unampenda mtu huoni udhaifu wakeshida
Lissu alisema ukweli kuwa wa tz hatujui kiingereza, na ni kitu cha kweli, ila mlipandisha nyuzi nyingi sana humu za kuwaaminisha watu kuwa Lissu kawatukana wa tz. sasa hili la mkuu kuihusudu rangi nyeupe na kubagua rangi nyeusi huoni kuna shida sehemu?Kwa hyo umeumia Sana na hyo rangi yako nyeusi dada?? Pole Sana yaaani naona kimekuuma
Sana
tumia mkorogo
Utani Katika jamii zetu upo tangu enzi za mababu
Utani! Rais hakuwa kijiwe cha Sinza au Gerezani, pia kila ahutubiapo hakosi kuongelea wanawake, kulikoni?Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Duh kweli mtu akikuchukia hakosi sababuHajui utani kiasi kuwa anageuka kuwa mropokaji. Utani una tafsida yake. Kimsingi anapenda utani lakini utani haumpendi. Hili tumekuwa tukilisema mara nyingi kuwa huyo jamaa hana uwezo wa utani. Anapatia zaidi kwenye mambo yake ya jazba na sio utani.
Mjinga mmoja, kwa watanzania ambao ni wengi na wasokua na elimu... Watamtafasiri km mwenye utani???Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Kachukia mnoo mpaka anasema "Huyu mzee hayupo sawa kichwani".Kama mkeo ni mweusi chukia wewe kwa niaba yake. Lakini mkeo hakuchukia kwa kauli hiyo ya Raisi kwani anajua Rais alikuwa akitania.
Na kwa kuonyesha hasira ulizonazo, muache mkeo kwa sababu yeye hakuchukizwa na kauli hiyo ya Raisi kama ulivyochukizwa wewe
Kwani uliambiwa hana nguvu za kiume!! Mbona huyo faru john wenu alipinduka usiku wa manane akitokea kwa ngono yake!!Kachukia mnoo mpaka anasema "Huyu mzee hayupo sawa kichwani".
Mnajifanya utani..Utani gan kila siku kaulekeza kingonongono tu??
Huyu mtu akiamka ,akilala, kichwan ni ngono ngono tu
Kweli hapa mzee kapitiliza kidogo, hii sio sawaView attachment 1595438
Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.
Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.
Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?
Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.
Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?
Ni kweli. Lakini watu hawawezi kuacha kusema kisa tu huwezi kubadilika. Kama unakojoa kitandani, utasemwa siku zote. Kibaya zaidi, tabia hiyo watu wanaweza kuichukulia kama kigezo cha kufanya maamuzi fulani, mfano akina mama kuamua kumnyima kura kwa kuonekana kuwa anawanyanyapaa.Huyu mpaka 2025 atakuwa anakosolewa na hao wakosoaji hakuna watakachoweza kubadilisha.
Hatuwezi kuwa na tabia zinazofanana na haitatokea tukaja kufanana. Ukishauelewa huo ukweli itakuwa rahisi maishani mwako kuishi na watu wasiofanana na wewe kitabia.
Utajuaje, labda moyoni mwake anajuta kwa nini kamuoa, na ndio msingi wa kauli kama hizi....kama angekuwa mbaguzi mbona mke wake mweusi
Utani gani huo wa kijinga...halaf utani wake ni lazima kutaja Wanawake tu Hana kingine anachojua?Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Namuona Polepole ANAKENUA tu!Ukiwa unampenda mtu huoni udhaifu wake