Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, Una hofu na matusi gani wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu!?

Yote mnayosema yana mantiki sana!je kama hawa sisiem hawafai tumchague nani?mzee wa bapa?

Siasa ya bongo imepoteza mwelekeo,sina upande ninaouunga mkono,mtatuwakilisha
 
Namnukuu Gamba la Nyoka November 2011 hapa JamiiForums alitoa bandiko lenye kuhusu kuundwa kwa lugha mpya yaani newspeak ( George Orwell's book titled 1984) ambapo maneno yanayodaiwa ni "matusi', 'kejeli' yatazuka, takwimu , msemaji toka chanzo kinachoratibitiwa na serikali n.k wataamua kipi kiwe na maana hii au nyingine ili mradi kuwalinda kwa namna yoyote waliopo madarakani

lets take a quick look at how a Newspeak operation works. It requires sequential planning, it requires time, it requires proper logistics, it requires credible spokespeople in public and private sectors, it requires choosing the right words and images at the right time and in the right circumstances.
mwisho wa nukuu toka kwa Gamba La Nyoka.
 
Umakini unahitajika mno na sana kwani kwa Kuongea Kwake hivyo kuna Watu yanaweza Kuwapata makubwa na hata wakaja Kujuta na Wasiamini.
Ni Ndugu Kuna Haja Ya Umakini Si Mahali Pa Kukurupuka Ili Hali Tahadhari Ipo
 
Mzee baba hana kifua cha kuhimili kauli za kumuudhi japo yeye ni bingwa wa maneno ya kwenye kanga
Siku hizi amechukua nafasi ya Mungu,watu wanamuabudu na yeye anafurahi.

Akijasikia kwamba,aliongea ujinga kusema mapapai yana corona anaona ni matusi,na adhabu ya yule aliyesema ni kifo anachoidhinisha kwa siri.
 
hukumuelea Mh. Rais,

Alicho manisha ni kwa wagombea wote kuepuka lugha za matusi katika kampeni kwani ndio chanzo cha uvunjifu wa amani.

kwa kuwa wapinzani sera zao zimejengwa katika misingi ya matusi wan ahii kunyimwa pumzi.
 
Kuna mwanaccm mwenye matusi kumzidi Lusinde?
 
Anaogopa ukweli,mbona kila Sikh analalamikia wapinzani kupinga kila kitu,alitarajia wasifie kila kitu?
 
Sasa kipindi kilisitishwa kwa sababu gani?
 

SGR, Stigglers, Ndege, elimu bure, ujenzi wa vituo vya afya, flyovers then imeishia hapo hakuna tena kingine cha kuongea hapo jukwaani.
 
hukumuelea Mh. Rais,

Alicho manisha ni kwa wagombea wote kuepuka lugha za matusi katika kampeni kwani ndio chanzo cha uvunjifu wa amani.

kwa kuwa wapinzani sera zao zimejengwa katika misingi ya matusi wan ahii kunyimwa pumzi.

Hivi mfano neno kilaza ni tusi au sio tusi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…