Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Nilichoandika hapa ni sifa ama uhalisia?

Kama ni sifa taja ni ipi.

Nilichoandika ni kweli na makabila mengine wanajua huu ukweli.

Kama hupendi ukweli, hamna namna ugulia maumivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wahindi wangekataa tu.

Tabia ya mtu inahusika vipi na kabila zima?

Mbona kuna maduka mengi sana ya wachagga wanakubali urudishe vitu baada ya kununua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini inaweza kua utani wa ukweli


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Unajuaje kama ni utani? Kuna sehemu kakiri kuwa anatania??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndugu niongope kwa faida ya nani,that's the way it is au nikupe kisa kingine cha mchaga mwenzio?
 
Ndugu niongope kwa faida ya nani,that's the way it is au nikupe kisa kingine cha mchaga mwenzio?
 
Ukitaka mfano mwingine nakupa,lkn pia simaanishi wachaga wote wako hivo ila most of them wako hivo pia siamini katika ukabila hata siku moja na nchi hii ni yetu sote na sio kama ccm wanavodhani kama ni yao na hakuna marefu yasiyo na ncha kama si kizazi chao basi ni watoto wao ama wajukuu zao watakuja kuvuna hichi wanachopanda what's goes around comes around
 
Gusa usukumani usikie kelele?
Uko very sana tena hujakosea.Cha kwanza utasikia kutoka kwa Wenye Makofia.Tangazo linaanzaga hivi.Sikia ee na uelewe ee mambo yanavyokwenda.

Ni marufuku kwa mtu yeyote ku.......Sisi(Wenye mkofia) tutawachukuli hatua kali ikiwa ni pamoja na kuwapeleka mahakamani (utadhani wao ndio wanajua sana sheria).

Kuna mtu mmoja humu amezungumza kuhusu Corona na Lumumba.Duuuu mzee wamebweka kama simba mzee nikajiuliza mbona hivi,nikakumbuka jamaa yangu aliniambiaga mgao wanaopata kutoka kwa bosi wao Kijani kwa kufanya hivyo si mdogo.Basi nikaelewa.Ukilipwa vizuri fanya kazi kwa bidii.Nilisikiaga book mbili vijana wakisema.

Haki huinua taifa bali
(dhuluma,ugandamizaji,unyanyasaji,ubaguzi,uuaji,utekaji,ubambikiaji wa kesi nk.) ni dhambi tena ni aibu kwa taifa.

Wachagga poleni.Mnajua kuchapa kazi,nyie hata njaa ikija hamsubiri unga wa serikali,mnajua thamani ya elimu,mnajituma,mnasaidiana,mnajali kwenu,mnajali kazi za makanisa na misikiti kwa michango,mwezi 12 mpo Moshi na famili zenu kwenye maboma yenu mkitokea Dar,Chato,Mwz,Tabora,Shinyanga,Bukoba,Kahama,Nairobi,Kampala kila kona (Kila mmoja na gari lake huko mgombani,kweli raha,nani anawaweza sasa) mpo kila mahali Tanzania mpaka pale Chato nimewakuta.Mwisho wa siku faida yote mnayochuma huko inarudi Moshi kwa maendeleo ya vijiji vyao.(Kwani si mnajua)

Kumbuka huu msemo kwa tofauti kidogo,mvua inanyesha nje mchagga yupo ndani,ile mvua haimzuii kuchapa usingizi wake.

Waacheni waendelee kuhangaika iko siku watakoma.Endeleeni kumtii Mungu kwa sala na maombezi.Majibu ni hapa hapa au Pantaleo unasemaje wewe
 
Hakuna mafisadi na matapeli nchi hii kama WAHAYA!. Ni wasomi lakini wanaongoza kwa utapeli...teh...teh..teh...ni utani tu lakiniMkuu ukisikia kauli kama hiyo toka kwa kiongozi mkubwa utajiskiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumetukanwa Sana wakati wa tetemeko la bukoba 2016 sijui mngetukanwa nyinyi ingekuwaje . Mnapenda kuchukulia mambo serious Sana na kujionesha mkoa Safi Kwa kila kitu kitu ambacho sio kweli lazima mna weekness.


Tulimfanya shit tukamoove one Kwa kusaidiana na athari za tetemeko sasa hazionekani bila ya mkono wa serikali tena watu wamejenga nyumba Bora zaidi.

But siku wahaya wakirise up CCM na uchafu wote mtajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichoandika hapa ni sifa ama uhalisia?

Kama ni sifa taja ni ipi.

Nilichoandika ni kweli na makabila mengine wanajua huu ukweli.

Kama hupendi ukweli, hamna namna ugulia maumivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja zako zote zinakosa mashiko pale unapotoa sifa za maendeleo ya kupitiliza kwenye nchi ya 3rd world. Hata Moshi ipo third world au una tatizo la exposure?
 
Sasa kutukanwa ni tofauti na utani...tolea maelezo mfano wangu ndio twende sawa...

Kiasili inasemekana wahaya na wachaga hawatakiwi kushika nchi milele sa sijajua ni kwanini.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais hatakiwi kuleta utani kwenye mambo yanayowagawa raia kwa ukabila.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Hata sheria za nchi zimeruhusu utani na Msukuma ni mtani wa makabila mengi hapa Tanzania, hata hivyo record za wakina mushi kwenye pesa sio nzuri, mukulu naye katumia mwanya huohuo kurusha jiwe gizani kwa Wachaga.
Duh! Huu ukabila mtakuja kuvuna mnachopanda one day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…