Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Ingefanywa sensa ya Idadi ya wanaume Wasukuma walio oa wanawake wa uchagani mimi nikiwemo, na idadi ya wanaume Wachagga walio oa wanawake wa Kisukuma mngeshangaa!.

Kiukweli Wasukuma tunawapenda sana Wachagga!.
P
Hakuna Mchaga anaemchukia Msukuma kwasababu ya kabila lake. Labda kama wana mambo yao binafsi. Na Wachaga wameoa sehemu nyingi tu sio uchagani tu.

Hili suala ya Wachaga kuchukiwa nadhani ni kwasababu ya juhudi zao katika kupambana na mara nyingi wakitoboa watu wengine huanza kuona wivu na kuwachukia bure tu badala ya kuomba mbinu au kuiga hustle.
 
Wasukuma sio kabisa la wenye chuki na mafanikio ya yeyote. Sio ma minder!. Sisi ni don't mind, don't care and don't give a dam, jirani ana nini!. Naweza kuwa na baiskeli tuu nikairemba hadi kuifunga redio, na nikaipenda baiskeli yangu mpaka basi, unaweza usiamini, hata nikipewa bure gari, sikubali, ni mimi na baiskeli yangu tuu!.
P
 
Niliposema "wengine" sijataja kabila. Mimi mwenyewe nawafahamu wasukuma wengi sana ni watu wenye roho nzuri sana. Tatizo kuna watu wachache sana wanaotaka kutuharibia nchi.
 
Niliposema "wengine" sijataja kabila. Mimi mwenyewe nawafahamu wasukuma wengi sana ni watu wenye roho nzuri sana. Tatizo kuna watu wachache sana wanaotaka kutuharibia nchi.
Naunga mkono hoja, tena unaweza kukuta wala sio Wasukuma, kukulia Usukumani, kusomea Usukumani na kuongea Kisukuma hivyo kujiita Msukuma hakumfanyi mtu kuwa Msukuma. Wasukuma wenyewe asili na halisi ni watu poa sana!.

Ila jiwe anaharibu sana ndugu yangu Mayala. Unajua hata kile kiburi cha akina Bashite na chokochoko za Gwajima ni kwasababu kuna ka-go-ahead kutoka juu. Pia kuna mengi sana watu wanafahamu na hawasemi kitu. Anajenga upande mmoja wa nchi na kubomoa upande mwingine anapaswa kushauriwa kuhusu mambo haya muhimu asije akajutia baadaye kwani miaka 5 ni kesho.
 
Inawezekana sense yako ya humor iko paralised kutokana na chuki-Pole sana
 
Hilo hata mm nakubali na kuunga mkono kwani nina dada zangu 3 wote wamebebwa na wasukuma
Naunga mkono hoja, tena unaweza kukuta wala sio Wasukuma, kukulia Usukumani, kusomea Usukumani na kuongea Kisukuma hivyo kujiita Msukuma hakumfanyi mtu kuwa Msukuma. Wasukuma wenyewe asili na halisi ni watu poa sana!.

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MANGI Kweli si Waaminifu yaani asilimia karibu kubwa wanaocoment Wanaelezea Wizi na Ujanjaujanja wa kina Bwashee.Angekewa mwizi anakatwa Mkono pande hizo wangekuwepo Vibubutu kibao.
 
So tunahitimisha kuwa wachaga ni wezi?Basi tuwatenge kwenye ajira za serikali!
 
Kwanini makosa ya wachache lawama ziende kwa kabila zima?Hii ni chuki ya wazi kabisa,mwalimu Nyerere alisema mtu mkabila ni mpumbavu!
 
Kwenye maisha yako umeshashuhudia kila wizi unaofanyika ni wachaga?Huna ushuhuda wa makabila mengine?Au tuombe taarifa za magereza,ili tuanze kuhesabu wafungwa wa makosa ya wizi!
 
Jamaa alichomekea tu. Sijui hii tabia ya kukuza mambo tunaitoa wapi.

Maisha hayawezi kuwa magumu kiasi tushindwe kuchomekeana. Chukulia poa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisoma michango humu unaweza kuona athari za huko kuchomekea!Kama Rais anapaswa kuchunga kauli zake kwani zinaweza kuleta athari!
Kwenye michango kuna watu wanakubaliana na kauli ya Rais kuwa ni kweli na kuna wengine wanapingana naye,hapo tayari unaona ni wachache sana wameichukulia kama kuchomekea!Mwalimu alipiga vita sana watu wa namna hii!
 
Kwenye maisha yako umeshashuhudia kila wizi unaofanyika ni wachaga?Huna ushuhuda wa makabila mengine?Au tuombe taarifa za magereza,ili tuanze kuhesabu wafungwa wa makosa ya wizi!
Most of them sio waaminifu,ndivo mlivo......
 
Mimi sio mchaga lakini hizi kauli za rejareja hazipaswi kupewa nafasi katika jamii iliyostaarabika!Ulifanya wapi huo utafiti na kujua wachaga wengi sio waaminifu?Ndio maana nimesema au tuombe serikali itoe takwimu kwa makabila ili tujue namba za walioko gerezani ambao wako huko kwa wizi!
Hizi kauli hazijengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…