Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Kumbe mnawapenda ,kwa nini mnawaponda sana?.Ingefanywa sensa ya Idadi ya wanaume Wasukuma walio oa wanawake wa uchagani mimi nikiwemo, na idadi ya wanaume Wachagga walio oa wanawake wa Kisukuma mngeshangaa!.
Kiukweli Wasukuma tunawapenda sana Wachagga!.
P
Tunawapenda sana wanawake wao, hatuwapondi, wanaowaponda Wachagga ni washamba fulani wanajifanya ni ...Kumbe mnawapenda ,kwa nini mnawaponda sana?.
N.B: I don’t belong to either of the tribes
Sasa historia ya mkoa wa Kagera inahusiana vipi?! Hoja hapa ni tabia ya baadhi ya jamii kujiona bora kuliko wengine! Sasa hayo majanga uliyotaja ndiyo yamewafanya Wahaya hivi sasa kupunguza yale majigambo yasiyo na maana hadi yakawa yanapelekea baadhi ya watu wawachukie, au?!! Back in the days Wahaya walikuwa wanasakamwa sana kuliko Wachaga lakini hivi sasa Wachaga ndio wanaosakamwa zaidi kuliko Wahaya!! Na usakamaji huu mara zote umekuwa ukitokea kutokana na tabia za hawa watu!!!Mkuu kama hujui history ya mkoa wa Kagera Bora ukakaa kimya Tu.
Anyway kukumbusha Tu vita ya Kagera, ukimwi,MV bukoba,Mnyauko, Tetemeko,wakimbizi na kuporomosha uchumi, vyote vilitokea katika mkoa huo.
Anyway Kagera wahaya wapo katika wilaya tatu.
Kagera ni kubwa kuliko wahaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Historia ya Mkoa wa Kagera
Hoja hapa ni tabia ya baadhi ya jamii kujiona bora kuliko wengine! Sasa hayo majanga uliyotaja ndiyo yamewafanya Wahaya hivi sasa kupunguza yale majigambo yasiyo na maana hadi yakawa yanapelekea baadhi ya watu wawachukie, au?!! Back in the days Wahaya walikuwa wanasakamwa sana kuliko Wachaga lakini hivi sasa Wachaga ndio wanaosakamwa zaidi kuliko Wahaya!! Na usakamaji huu mara zote umekuwa ukitokea kutokana na tabia za hawa watu!!!
Nawajua Wahaya vizuri sana kwa sababu, mosi nimeishi nao mlango kwa mlango for years, na pili, shemeji yangu wa kike ni Mhaya, na tatu back in the days nilikuwa na demu Mhaya!!! Ni rahisi kwako kusema kwavile labda wewe ni Mhaya basi unawafahamu vizuri Wahaya kuliko mimi lakini kama wewe ni Mhaya, huwezi kuletewa ujuaji na Mhaya mwenzako kwa sababu you're flying with the same feather na kwahiyo huwezi kuiona hiyo hitilafu! Kinyume chake, yule asiye Mhaya ndie anayeweza kuyaona hayo mapungufu! Kwa mfano, ashakum si matusi, hivi zamani mtu asiye Mhaya akisema ameoa Mhaya watu walikuwa wanamshangaa na wengine kumwambia wazi "utaoaje Mhaya wewe"; je Wahaya kwa Wahaya mlikuwa mnashangaana kisa tu Peter Ishengoma kamuoa Easther Rutabangira?!
Sijui una umri gani lakini naona Wahaya wa siku hizi wamejitahidi sana kupunguza zile tambo za kijinga kijinga za kujiona wao ni bora! Hata Dar es salaam kwa mfano, Umalaya ulikuwa unahusishwa sana na Wahaya si kwa sababu wao ndo walikuwa Malaya sana kuliko wengine bali ilikuwa ni kama njia ya watu ku-retaliate na kutoa ujumbe kwao kwamba "...msituletee ujuaji hapa wakati dadazenu wanaishi kwa kuuza K"! Na ukweli mwingine ndo huo hata waliokuwa wanaleta ufahari, wengine wengi tu walikuwa wameishia "darasa la pili" lakini atajitia ujuaji kwa ajili ya akina "Ishengoma" wachache!!!
yan hapo ndo utashangaa zaidi akifanikiwa mmoja bas wanajiona wamefanikiwa jamii nzimaHivi kujenga mbweni , ununio na Bwiru ndio utajiri. Nani kakudanganya kwamba maeneo hayo wamejenga wahaya tu ? Usijitekenye wewe nshomike
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi dukani mangi ananiambia bora ukope wewe mswahil kuliko mchaga mwenzangu halipiMimi namfahamu mchagga ambaye kwenye taasisi anayoisimamia , hajamuajiri mchagga mwenzake hata mmoja.
Be open minded
Dunia ya sasa sio ya kukariri maisha
Hivi kuna Mchaga anaweza ona hela ipo kizembe asiibe?
Wala siyo ujinga takwimu zinaongeaNi ujinga wa hali ya juu kunasibisha matendo ya mtu na kabila lake.
Wanabodi,
Asalam aleikum!
Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.
Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.
Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.
Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?
Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.
Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.
Tunaomba utuombe radhi mara moja.
Mkuu wewe na kabila lako mnaoaminika mmefanya nini ktk Taifa hili? Naamini wachaga wamefanya makubwa sana na wanazidi kufanya makubwa ktk ustawi wa nchi hii na hili halina ubishi!
Kama imekaa kizembe hata wewe mwenyewe usipoichukua ujitangulize mirembe au unakaribia kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtabakia kuwaita wachaga wezi lkn cha ajabu ktk majizi makubwa yaliyoharibu uchumi wa nchi wachaga hata asilimia 0.03 hawafikii, lakini wanazidi kusonga mbele na kushamiri kila kukicha huku wengine wakibaki kusonga mbele kwa maneno na umbea usio na tija!Kabila la Wachagga wapo maProfessa,Drs,Accountants,MaAskofu,Wanasiasa,......kwahiyo wote hao na professional zao ni wezi !!!.
Sababu ni ninimimi dukani mangi ananiambia bora ukope wewe mswahil kuliko mchaga mwenzangu halipi
Mbali na utani; lakini huo ndio ukweli, wachagga kwa hela [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sheria za nchi zimeruhusu utani na Msukuma ni mtani wa makabila mengi hapa Tanzania, hata hivyo record za wakina mushi kwenye pesa sio nzuri, mukulu naye katumia mwanya huohuo kurusha jiwe gizani kwa Wachaga.
Chief Mangungo alitokea wapi? Acha ujinga.Wachaggaa ni tatizo , ukiacha kuwadhibiti wanakuuza wewe na nchi yako. Wengi wao ni brain zero.