Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Mm nilikuwa mtu wa kukaa sana na watu tofauti tofauti na nilikuwa na akili mgando ila tokea nimekutana na wadau flan k.koo wachaga najikuta kichwa yangu inaenda resi kutafuta ela yan hawa jamaa ni wajanja kuona fursa na 75% ya maongezi yao ni ela na najivunia kukutana na hawa raia mpaka najiuliza hivi ni kitu gani ipo ndani ya hawa watu. Na ukweli ni kwamba sijawahi kuwaona wakimuibia mtu au wakimzulumu mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni post sahihi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu endelea hivyohvyo utaleta mrejesho hapa.
 
Ukienda vijiwe vingi vya kiswahili utakuta maongezi ni madem,bata zisizo na mpango huwez kuta wanaongelea mipango ya hela kupeana ramani hata siku moja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye alikuwa mjinga wewe umekua mpumbavu.
Mkuu nchi hii wachaga katika awamu zote wamekua ktk nafasi nzuri tu, sasa awamu ya jiwe ndo pekee hawapendi wachaga kwa kua akiwa anasoma chuo wachaga walimzidi sana akili darasani.
Awamu hii ikiisha atakuja kiongozi mwingine na maisha yatakwenda, ila wasukuma tutakoma,
Kwanza kina mjombake Dotto magereza inamngoja, jiwe sjui ataishi wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona humu ndani Wachaga mnajitapa sana nyie ndo mna akili sana kuliko makabila mengine nchi hii ,Kwahiyo wengine sisi ni wajinga ,kwa kauli zenu za kibaguzi kama hizi nimeanza kuwachukia maana nyie ni watu wenye ukabila usiojificha na hata alilosema rais sio siri kila mtz anajua hilo lakini naona mmetengeneza uzi kuja kutukana wasukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…