Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Msipaniki ni utani. Wachaga wametapakaa tz nzima mijini na vijijini. Mbona huku mitaani tunaishi nao fresh tu. Wao ukweli ni wajanja na wanajua kutafuta pesa.
Hala Hala ndg zanguni wachaga msije ona nyie kukosa fursa ya kuongoza Nchi mkaona kwamba mnanyanyaswa. Mtaipata hyo fursa lkn kabla ya kuipata mjifunze kupitia Rwanda. Na mlivyotawanyika naomba Mungu apitishie mbali.
 
Kama unaweza unga mkono kiongozi wa nchi kuendekeza ukabila je wawezaje jitenganisha na akili za ki ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa ya kuwa mchaga ni wizi . sasa usipoiba pesa utaenda wapi? Wa chaga na wizi ni sawa tu.
Sawa na Masai kuvaa shuka nyekundu.
Au masai kuwa mlinzi,.. Masai kabila la kipumbavu sana, yan et wanadumisha mila, mila gani,
 
Hata sheria za nchi zimeruhusu utani na Msukuma ni mtani wa makabila mengi hapa Tanzania, hata hivyo record za wakina mushi kwenye pesa sio nzuri, mukulu naye katumia mwanya huohuo kurusha jiwe gizani kwa Wachaga.
Ninamjuwa jamaa wa Kichaga mfanyabiashara anaitwa Mushi pia, huyu jamaa hawezi dhulumu hata senti tano yako moja aisèe! Namuamini huyu kuliko hata mchungaji wa Kisukuma
 


Imeuma sana pole

1.kaongea ki utani
2.ni kweli wengi sio waamanifu na ni criminal
3.wameibiwa hela na mchaga
4.ni tabia inajulikana kwa kila mtu
5.bado wachaga ni bright Na hardworkers sana pia
 
Unajichanganya, mara wapo wachaga waaminifu halafu hapo hapo wachaga wachache ndo wezi. Ilitakiwa wengi wawe wezi wachache waaminifu ili uhalali wa generalization uwepo.

Wachaga wengi ni wajanja wajanja ila si wezi. Ukimpa hela yako hawezi itunza kabatini, atawaza tu kuizungusha ili ukija ichukua abaki na kifaida chake. Ss kwe kuizungusha hapo ndo anaweza ipoteza akaonekana mwizi.
 
Kwa hiyo mhaya ana hela ? We ndio hujui kitu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa niseme tu ukweli, usifanye nao biashara, ni watano zangu lakini kwenye pesa sio waaminifu kabisa. Pamoja na kuwa uaminifu ni swala binafsi sana ila percentage ikiwa kubwa kwa watu fulani lazima utie shaka.

Tuna-trade nao, tumeoana nao, ni watani na mashemeji zetu but when it comes to money hawa jamaa usiwaamini kabisa.
 
Kweli, ila kwanini mali zinazidi utu? Yaani mchaga yupo tayari aue ili apate hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…