INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,324
- 2,319
Kwamba tibaijuka na rugemalira ni Wachagga?
Kina Rutabanzibwa ni Wachagga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba tibaijuka na rugemalira ni Wachagga?
Huyu hapendi watu wajanja na wenye akili anapenda mazwazwa tu. Wachaga msikate tamaa kaja kawakuta ataondoka mtabaki kuwepo
Kama unaweza unga mkono kiongozi wa nchi kuendekeza ukabila je wawezaje jitenganisha na akili za ki ccm?Mkuu msipobadilika mkaacha wizi kamwe madaraka makubwa ya nchi hii mtayasikia tu. Siyo siri, kuna Dr wa kabila la wachaga toka chuo fulani aliwatapeli wanafunzi. Yaani yeye ni kibosile kwenye kitu fulani so kwenye selection ya wanafunzi ili waende kwenye shindano fulani yeye akawa anawatoza wale watoto hela. Wachaga ni smart kwa kuiba na hii inatokana na watangulizi wenu kuwa wezi na kurejesha hela za wizi uchagani hivyo ni mashindano kwenda mbele. Hatukatai wapo wachaga waaminifu sana hata ktk serikali ya awamu ya 5, ila kuna wachaga wachache ni wezi na wanapendeleana kwa ukabila waziwazi, mfano kulikuwa na mchaga mmoja shirika moja alikuwa mtu wa ajabu sana yaani aliwapa ajira wachaga tu, tena huku anajigamba kusema lazima wachaga wapewe kazi, ila uzuri alishafukuzwa kazi sasa anaisoma namba mjinga kabisa.
Uko sahihi mkuuMimi siyo mchaga,
Lakini ninachokifahamu kwa makabila mengi Tanzania
1. Wavivu
2. Akili ndogo
Kwakuwa wachaga wanahela,wenye akili ndogo,wanashindwa kujua wanapataje pesa.
Wenye akili ndogo wanaweza kuzaana tu.
Kukuthibitisha haya,NI nadra kumsikia mhaya alamsema mchaga kwa kashfa
Sent using Jamii Forums mobile app
Au masai kuwa mlinzi,.. Masai kabila la kipumbavu sana, yan et wanadumisha mila, mila gani,Sifa ya kuwa mchaga ni wizi . sasa usipoiba pesa utaenda wapi? Wa chaga na wizi ni sawa tu.
Sawa na Masai kuvaa shuka nyekundu.
Ninamjuwa jamaa wa Kichaga mfanyabiashara anaitwa Mushi pia, huyu jamaa hawezi dhulumu hata senti tano yako moja aisèe! Namuamini huyu kuliko hata mchungaji wa KisukumaHata sheria za nchi zimeruhusu utani na Msukuma ni mtani wa makabila mengi hapa Tanzania, hata hivyo record za wakina mushi kwenye pesa sio nzuri, mukulu naye katumia mwanya huohuo kurusha jiwe gizani kwa Wachaga.
Wanabodi,
Asalam aleikum!
Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.
Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.
Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.
Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?
Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.
Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.
Tunaomba utuombe radhi mara moja.
Unajichanganya, mara wapo wachaga waaminifu halafu hapo hapo wachaga wachache ndo wezi. Ilitakiwa wengi wawe wezi wachache waaminifu ili uhalali wa generalization uwepo.Mkuu msipobadilika mkaacha wizi kamwe madaraka makubwa ya nchi hii mtayasikia tu. Siyo siri, kuna Dr wa kabila la wachaga toka chuo fulani aliwatapeli wanafunzi. Yaani yeye ni kibosile kwenye kitu fulani so kwenye selection ya wanafunzi ili waende kwenye shindano fulani yeye akawa anawatoza wale watoto hela. Wachaga ni smart kwa kuiba na hii inatokana na watangulizi wenu kuwa wezi na kurejesha hela za wizi uchagani hivyo ni mashindano kwenda mbele. Hatukatai wapo wachaga waaminifu sana hata ktk serikali ya awamu ya 5, ila kuna wachaga wachache ni wezi na wanapendeleana kwa ukabila waziwazi, mfano kulikuwa na mchaga mmoja shirika moja alikuwa mtu wa ajabu sana yaani aliwapa ajira wachaga tu, tena huku anajigamba kusema lazima wachaga wapewe kazi, ila uzuri alishafukuzwa kazi sasa anaisoma namba mjinga kabisa.
Naskia hata yule wa awamu ya kwanza aliwahi kuwaambia watu kwamba uchumi wanao, ila wameukalia tu.Rais Mwinyi aliwaambia wamakonde wakazane kwenye korosho? ikawa heka heka watu kuinamishana chini ya mikorosho
Kwa hiyo mhaya ana hela ? We ndio hujui kitu kabisa.Mimi siyo mchaga,
Lakini ninachokifahamu kwa makabila mengi Tanzania
1. Wavivu
2. Akili ndogo
Kwakuwa wachaga wanahela,wenye akili ndogo,wanashindwa kujua wanapataje pesa.
Wenye akili ndogo wanaweza kuzaana tu.
Kukuthibitisha haya,NI nadra kumsikia mhaya alamsema mchaga kwa kashfa
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja,
Poleni sana ndugu zetu kina Mangi.
P
[/QUO
FAMILY FIRST EHH... TUNAJUA UMEOA UCHAGANI
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umefanya nicheke kwa nguvu.Rais Mwinyi aliwaambia wamakonde wakazane kwenye korosho? ikawa heka heka watu kuinamishana chini ya mikorosho
Kujitenganisha na akili za ki-Ccm?! Mbona kama unawalazimishia watu mapenzi yako!Kama unaweza unga mkono kiongozi wa nchi kuendekeza ukabila je wawezaje jitenganisha na akili za ki ccm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naskia hata yule wa awamu ya kwanza aliwahi kuwaambia watu kwamba uchumi wanao, ila wameukalia tu.
Kweli, ila kwanini mali zinazidi utu? Yaani mchaga yupo tayari aue ili apate hela?Unajichanganya, mara wapo wachaga waaminifu halafu hapo hapo wachaga wachache ndo wezi. Ilitakiwa wengi wawe wezi wachache waaminifu ili uhalali wa generalization uwepo.
Wachaga wengi ni wajanja wajanja ila si wezi. Ukimpa hela yako hawezi itunza kabatini, atawaza tu kuizungusha ili ukija ichukua abaki na kifaida chake. Ss kwe kuizungusha hapo ndo anaweza ipoteza akaonekana mwizi.