Sifa yenu kuu ni wizi na utapeli...kwa hiyo mtulize misambwanda prezdaa kapiga mule mule.Ulitaka tuwe lelemama sio?
Unadhani Mengi angekuwa na akili finyu kama yako angekuwa billionaire?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ngosha sio mwizi?Sifa yenu juu ni wizi na utapeli...kwa hiyo mtulize misambwanda prezdaa kapiga mule mule.
Mmewazawadia mgonjwa wa Corona wahangaike naye!Naunga mkono hoja,
Poleni sana ndugu zetu kina Mangi.
P
Hahahahahahah nmecheka kisnge.
🤣🤣🤣🤣🤣 hahah halafu kuna mtu anasema mnasingiziwa.Mi mchaga lakini ndio ukweli silaumu hizo kauli zake, wachaga tupo after money. Hata mimi ningekuwa mwenyekiti wa hicho kikundi ningeingia mitini na hizo 25M
Sent using Cash Money Wings
Kwani kuna uwongo ktk hilo alilosema Magu! Hata mimi najua, na ww pia unajua kuwa wachaga na hela ni jaribu lililo kubwa kuliko uwezo wao! Ww unajua na kila mtu anajua, waliowengi sio waaminifu inapokuja kwenye kitu pesa! Hata hivyo aliwapa shavu wapare, mbona hulisemei hilo bali umeshadadia hilo la wachaga! Hilo ni jiwe la gizani naona limekupata! Kama vipi muache tabia za hivyo kujidai nyie ndio mnafahamu pesa zaidi ya binadamu wengine! Magu hakulisifia kabila lake kwa hivyo hakuonyesha ukabila wowote ili kama binadamu anayependa kusema ukweli amelisema na ukweli ndio huu!Wanabodi,
Asalam aleikum!
Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.
Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.
Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.
Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?
Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.
Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.
Tunaomba utuombe radhi mara moja.
Ni hela ipi isiyo yao. Kiding....ahaa aaaa...sio ukabira, wachaga mnatamaa na hela, mnatamani hata pesa isiyo yenu, mwishowe mnaishia kuwa wezi, na wale dada zetu kule sinza cornerbar!
Wachaga hamna uaminifu kwenye pesa au suala lolote linalohusisha maslahi ya fedhaWanabodi,
Asalam aleikum!
Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.
Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.
Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.
Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?
Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.
Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.
Tunaomba utuombe radhi mara moja.
Achana na huyu nnyeeKwamba tibaijuka na rugemalira ni Wachagga?
Kina Rutabanzibwa ni Wachagga?
Sent using Jamii Forums mobile app
zilizopo bank, na mpesa au katika mifuko ya watu!Ni hela ipi isiyo yao. Kiding....ahaa aaaa...
we kenge tutajie kabila lako, usitafute umaarufu kwa kuwatukana wachagga,Nyamaza wachaga mnajulikana kwa wizi na kwenu hiyo ni sifa. Yaani mchaga (baadhi) akipewa nafasi kubwa cha kwanza ni kuiba. Ni wezi sana wachaga
sasa unabisa nini manka?we kenge tutajie kabila lako, usitafute umaarufu kwa kuwatukana wachagga,