Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Meko wachaga ndio rolimodo wake sema kashindwa kufuata mapito yao,yeye anakwiba tu pesa zetu za kodi na kupeleka porini kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habadilishi chochote kama angani a au anamaanisha,haipo haja ya kuumia juu ya mambo madogomadogo kama haya rafiki.
Unafikiri kama unapenda kweli kudhulumu na ndiyo asili yako mtu akisema tu utaacha dhulma.Suala la msingi ni kujitathmini na kuamua kubadilika kama kweli unafanya Matendo yasiyofaa.
Kulalamika na kumuona Rais amekosea hakupindishi uhalisia ulivyo.
 
Hao wachaga wenye akili kubwa wamegundua nini hapa duniani?

Huo ukubwa wa akili umeupimaje au hisia tu?

Na unaposema wana hela unamaanisha nini? Mbona kuna wachaga kibao tu wanufaika wa TASAF!

Fahari siku zote ndiye mama wa ujinga.
 
Utani kwa makabila hapa tanzania sio jambo la ajabu ni kawaida sana.
 
Huyu mzee Kuna kitu anatutafutaga sisi sio watani na wasukuma

Asalam aleikum!

Kwa muda mrefu sasa zile hisia na dhana ya Rais Magufuli kulichukia kabila hili la Wachaga sasa amedhihirisha jana.

Pamoja na kwamba alikuwa anaongea kwa utani lakini hilo ndilo liko moyoni kwake ila hakupata sehemu pa kulisemea.

Katika clip hii ambayo Mama mmoja aliyekuwa akilalamika kuwa wametapeliwa kwenye umoja wa vikoba vyao na Grace Mushi, kitu ambacho kilimfurahisha Rais kusikia aliyemtapeli ni Mchaga.

Rais alienda mbali zaidi kwa kumlaumu Mama huyu kuwa kwanini walimpa dhamana huyu dada wa Kichagga awahifadhie hela?


Pamoja na kwamba alikuwa akiongea kwa utani, lakini alionekana wazi wazi akishadadia kuwa Wachaga si watu wazuri na wakuwamini katika fedha.

Nina wasiwasi tukio hili ni la kutengeneza ili upate sehemu ya kulinanga kabila hili.

Tunaomba utuombe radhi mara moja.
[/QUOTE]
 
Hawa jamaa ni wezi na wana hisia fulani ya ubinafsi ambayo inasababisha wawe wakabila ila hawataki kuambiwa ukweli
 
Hawa jamaa ni wezi na wana hisia fulani ya ubinafsi ambayo inasababisha wawe wakabila ila hawataki kuambiwa ukweli
Mchagga ni mtu mwaminifu sana na hata ukimpa hela nyingi atakutunzia tu na hata kufanya biashara na kuiongeza ukija unakuta na 10% yako juu.
 
Ofisi gani umeona hayo? Acha kujipandikiza chuki bure Kuna Moto jamani uongo na usengenyaji haufai. We huoni wasukuma this time around Hadi inaogopesha
 
Ndio maana safari hii watu wa Kilimanjaro tumewekwa kushoto kwenye teuzi zake nyingi
 
Wenye ubaguzi katika wachagga ni wanawake au wanaume ?
 
Ndio maana safari hii watu wa Kilimanjaro tumewekwa kushoto kwenye teuzi zake nyingi
Ndio maana deni la taifa limeongezeka mara dufu kipindi hiki na serikali inapoteza fedha nyingi mfano kwenye ndege ATCL ni janga. Ingetosha kuingia ubia na Bwana Shirima wa Precision Air ili kufaidi naye kwenye masuala ya biashara na uendeshaji wa biashara ya anga. ATCL hawajui biashara na jiwe anafikiri ataweza kuiendesha ATCL kwa amri za ikulu.Amejaribu kuua Precision Air lakini wapi, imekufa Easy Jet badala take na ATCL itakufa na kuiacha Precision Air ikipaa.Kenya Airways wanashirikiana na Precision Air na wanafaidi hapa Tz mtabaki mkisema mchagga mwizi badala ya wengine kuiga ujasiriamali.
 
Hao wachaga wenye akili kubwa wamegundua nini hapa duniani?

Huo ukubwa wa akili umeupimaje au hisia tu?

Na unaposema wana hela unamaanisha nini? Mbona kuna wachaga kibao tu wanufaika wa TASAF!

Fahari siku zote ndiye mama wa ujinga.
Wachagga ni Akili kubwa wanaendesha shirika la ndege nchini.

Ni Akili kubwa wanatoa mtu tajiri kuliko kabila lolote nchini.

Ni Akili kubwa wanamiliki shule nyingi kuliko mkoa wowote Tanzania.

Ni Akili kubwa wana makazi bora vijijini kuliko sehemu yoyote nchini.

Ni Akili kubwa wanatoa waasisi wa vyama vya upinzani kuliko mkoa wowote nchini.

Ni Akili kubwa wanaleta maendeleo ya miundombinu yao kwa pesa zao kuliko kusubiri serikali.

Ni Akili kubwa walipigwa vita vya kielimu chaajabu wakafanikiwa sana kutegua hicho kikwazo na kupiga hatua mara dufu kwenye sekta ya elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kawaambia wawe wanawapa wapare pesa waziweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…