Rais Magufuli Unasababisha Chuki na Uchochezi Dhidi ya Wachaga

Ni kweli kwenye pesa wachaga ni hatari usilogwe kumkabidhi mchaga pesa lazima atakupiga ndiyo inavyojulikana hapa TZ
Sawa na kusema wasukuma ni washamba ingawaje si wote. Naona wewe mchaga imekuuma sana! Pole mkuu!!
 
Huyu hapendi watu wajanja na wenye akili anapenda mazwazwa tu. Wachaga msikate tamaa kaja kawakuta ataondoka mtabaki kuwepo
Kweli wachaga ni wapigaji wa pesa sana lazima muwe makini mnapowakabidhi pesa zenu.
 
Wachaga Kwan uongo nyie asie jua kua mnapenda hela ni nan
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chaga anajulikana na kila mtu kwenye pesa, halina utani hilo..
 
Rubbish!
 
Ila jamani tukubali tukatae wachaga maendeleo walianza nayo zamani sana,Wakati sie mababu zetu wanakazania kulima na kuchunga mbuzi wenzetu waliitafuta elimu kwa udi na uvumba ndio matokeo yake haya,tunawachukia na kuwananga wakati elimu kwao ilifika miaka iyo ya mkoloni
 
Nilienda duka moja kununua kabati la kuhifadhia nguo,dukani kwa mosha nilivofika nikakutana na muuzaji akanionyesha sample na baada ya kumaliza kuangalia sample nikachagua kabati moja ambalo ni milango miwili then muuzaji akaenda stoo akachukua aina ya kabati ambalo nilichagua ila ilikua packaged so nikalipakiza kwenye gari mpaka home soon nilivofika nyumbani nikamuita fundi ili alifunge,baada ya fundi kuja tukagundua kua kabati nililopewa sio lile ambalo nilichagua sbb nililopewa llkua la milango mitatu lkn pia lilikua halijatimia

So baada ya kugundua hivo ikabidi niwapigie pale dukani kuwaueleza,alichojibu muuzaji aliniambia kua yeye kanipatia kabati ambalo nimechagua kwahiyo hilo yeye alitambui na nilijaribu kuongeanae sana lkn alikataa kabisa kunielewa

Nikaenda kituo cha polisi nikatoa maelezo then nikapewa RB nikaenda mpaka pale dukani nikamkuta yule alieniuzia nikamwambia unahitajika kituo cha polisi jamaa alikataa ikabidi nirudi kituo cha polisi nikawapa mrejesho,ikabidi askari wampigie simu boss ambae anamiliki duka "mosha",duh!! jamaa aliwaongelea shit wale askari kitu ambacho kiliwaudhi sana askari wakampa nusu saa kama hatokuja basi watamfata wao huko aliko basi baada ya nusu saa mosha akaja then akaambiwa anibadilishie lile kabati au arudishe pesa na kama atabadilisha kabati alipe gharama ya kulirudisha dukani kwake na kulisafirisha tena mpaka nyumbani kwangu so ikabidi mosha abadilishe kabati

Pamoja na visa vingine kutoka kwa wachaga nikaamini kua hawa jamaa sio waaminifu pia wanawachukulia wenzao kama watu wasiofaa/wasiojielewa na wanathamini pesa kuliko utu MOST OF THEM NDIO WAKO HIVO ila wanasema malipo yanaanzia hapa hapa duniani na taratibu tunaona wanavonyooshwa

Ila mungu wasamehe,mungu atusamehe kwa dhambi zetu
 
Umemtolea mfano Mosha na kuhukumu jamii nzima kana kwamba ndio kawekwa kuwakilisha wachaga wote, nashindwa kujua kama shida ni elimu yako, weledi wako au ni chuki tu dhidi ya jamii ya kichaga

Me nachoamini kuwa nchi hii ni yetu wote sio kwa ajili ya kikundi fulani ambacho wao ni malaika sana kuliko wengine, hivyo sina haraka na watu kama nyie na kejeli zenu za waziwazi nasubiri muda uamue tufike hapo mnapopataka



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu hapendi watu wajanja na wenye akili anapenda mazwazwa tu. Wachaga msikate tamaa kaja kawakuta ataondoka mtabaki kuwepo

Lakini wachagga kiukweri mmejipa sifa mbaya sana Tanzania na urimwenguni kote😁😁 mchagga kwa hella khatari sana,,,mke anamtoa roho mumewe ili ajimilikishe mali na nduguze 😁😁 mkipewa hii nchi 2tasarimika kweli! Au ndio mtapeana wenyewe madalaka na maeneo kila pembe ya tanzania! munakwama wapi nduguzangu wapenda hella!
 
Over generalization.

Hivi Wachagga walivyo na good customer service, unadhani wangekuwa kama huyo mosha watu wangekanyaga dukani?

Huyu ana tatizo binafsi kama stori ni kweli.

Maduka ya Wachagga wanajali sana wateja sijawahi ona.

Nenda kariakoo uone wanavyochangamkia wateja.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…