mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Kwani nani alikunyima kuvaa barakoa
Pia nani alisema kuwa Tanzania kuna corona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nani alikunyima kuvaa barakoa
Sijamuona labda Mabwege wenzio hapo Lumumba.We bwege hujaona mtu yupo ofisini peke yake amevaa mask?
Rais Maguful katika Misa takatifu Kasema yeye hajazuia barakoa, anajua mengi maana ye ndo kiongozi wetu, na hajazuia barakoa Kama inavyosemwa,
Basi kaa kimya. Maana hata matumizi ya barakoa hujui.Sijamuona labda Mabwege wenzio hapo Lumumba.
Na ndivyo kiongozi anavyopaswa kuwa!Kweli Magufuli ana msimamo aisee!
SafiHili ni janga, Marekani walipoona maisha yao yanachezewa na mtu mmoja wakapiga chini. Wapambe wakajitokeza kulazimisha, wenye busara wakasema uhai wetu ni MUHIMU kuliko mtu mmoja. Bila kumtupa YONA Baharini tutakwisha.
Yeye huo ufanisi ameupimaje?Wewe uelewa wako ni mdogo. Hoja hapo ni ufanisi wa lockdown na social distancing
Kwa mtu yotote mwenye akili hakupaswa kumfatiliza au kusubiri tamko kutoka kwake, unakuta mtu mzima na akili zake na elimu yake eti anasubiri Rais atoe tamko la kuvaa barakoa..Yeye ndo aliongoza kuzodoa watu wanaovaa Barakoa kila mkutano aliohudhuria. Mfariji mkuu anapokuwa mzodoaji mkuu unategemea faraja hapo? Wewe ifike jioni kuna baridi mtoto wako mmoja avae sweta watatu waendelee kucheza kifua wazi , unapotokea unamzodoa aliyevaa sweta na kuwasifu wanaotamba kifua wazi. Kesho wakiugua Pneumonia umlaumu aliyevaa Sweta au watoto waliocheza vifua wazi?
TBS wenyewe hawajitoshelezi ki technology baadh ya vitu hawajui na hawana taaluma hiyo Cha kufanya tumwombe Mungu na Yona atupwe baharinOfcourse Serikali ni vigumu kuzuia mtu (Ingawa kule Moshi kuna mtu ambaye yupo Serikalini aliwaambia watu wazivue)..., pili dhihaka na yeye kusifu watu ambao hawajavaa ni msimamo tosha wakufanya watu wanaovaa waonekane ni wa ajabu.
Pia tujihadhari na Barakoa tu zinazotoka nje ?... Je vipi mitumba, Misaada, Magari, TV, Electronics, Simu, Madawa, Mafuta, Sukari, n.k. Hivyo ni Salama (au ndio kuzua taharuki ?)
Hivi TBS na Taasisi zote zinafanya nini ? Kwanini zisizuie vitu ambavyo sio salama au kuvipiga marufuku ?, Mimi mteja mtaani ninayenunua nina vipimo au ninajuaje kwamba hiki sio salama ?, Au ndio mwanzo wa Trade Wars na kusema kila kinachotoka nje ni sumu ? (Kama ndivyo hio ingefanikiwa tu iwapo tungekuwa tunajitosheleza kwa quality na quantity) unless otherwise ni kuzidisha taharuki na sintofahamu kwa wananchi.. (watu wataogopa kutumia oil wakidhani in Corona)
Ulivyoelewa wewe inatoshaUkisoma hiyo taarifa kuna mahali amesema hivyo?
Waraka wa wataalam wa afya ni tofauti kabisa na waraka wa ikulu.Hii paragraph imehitimisha nia ya serekali katika kupambana na janga la corona ni ipi.
Imagine social distancing pamoja na kuvaa barakoa vimepondwa na kuonekana kuwa havina maana na maombi yamewekewa msisitizo!View attachment 1708025
Sasa hivi roho zao nyeupe..kesho utaona kila mtu na barakoa yake na mandoo ya kunawa mikono kila sehemuHahaha watanzania tuna shida kubwa sana..walitaka waambiwe "vaeni" ...
Mzee wa lumumba siku yakikukuta ndio utaelewa say hi huwez elewa mdau .Mnaoponda kila kitu si muhame Nchi kama ni mbovu? Shida nini hameni nendeni hata iraq huko mkafurahi. Watu haturidhiki
WHO wameishatoa miongozo ya kutosha, unataka suruhisho gani lingine, basi kajifukize kwa kinyesi..Usilaumu bila kutoa suluhisho kama siyo chuki binafsi