peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Kuanzia leo hadi tar 25.3.2021 siku ya mazishi chato, kama viongozi hawatachukua tahadhari ya corona.tutasikia mengi huko serikalini.Kwa
kwa mtindo wao huu wanaotuonyesha soon tutarajie mmoja wawili
Corona hii haina kuaminiana aminiana.TEETH chukueni tahadhari kwa Mama Samia ,awe anavaa barakoa na mambo ya kushikana mikono hayafai ,maana huyo mama muda mwingi anajifuta uso ,avae barakoa na kutumia "SANTAIZA".
Yaani mapema mno au kuna uwezekano Walikua wanaishi hapo kwaoNmeamini Serikali Haina shukrani,
Yaani mzee hata hajazikwa bado ila familia tayari ishatimuliwa kwenye nyumba ya serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
eti nyungu na Coronaaa Subwekeee !!Corona gani Tena situlisema nyungu zimesaidiaa??
ile ni nyumba yao, mara nyingi Janeth alikuwa anaishi hapo !!Yaani mapema mno au kuna uwezekano Walikua wanaishi hapo kwao
Una upunbavu nwingi sana aiseeDuh kweli jamaa mkoloni hadi leo wanatandika hivyo vitambaa kwa makochi
Mhe Rais kama naye yuko kwenye "Denial Mode" kuhusu COVID then tujiandae kwa lolote.
No Barakoa,shaking hands!!!!
Kuanzia leo hadi tar 25.3.2021 siku ya mazishi chato, kama viongozi hawatachukua tahadhari ya corona.tutasikia mengi huko serikalini.
HeheheheHivi mke wa marehemu si anaweza kuolewa tena wajameni. Kama Graca Machel vile wakuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zile Raba za Adidas azikwe nazo kwakweli.
Ndo kipenzi chake zile.
Bashiru ni some of the political assets Tanzania has,ni lazima apate ki-box,tena kikubwa.Najua kwa nini unamchukia:ni some of the people ambao watachangia kubana wezi wa mali za uma na wababaishaji wengine.Bashiru Ally punguza ku kaba. Najua uta tolewa hapo wala VP hupati.
Humjui. Ww ni bendera fuata upepo tu. Huyo hata Uraia wake tuna mashaka nao.Bashiru ni some of the political assets Tanzania has,ni lazima spate ki-box,tena kikubwa.Najua kwa mini unamchukia,ni some of the people ambayo atachangia kubana wezi wa mali za uma na wababaishaji wengine.
Nyie hamumuelewi huyu 'Iron Lady'! Ni zaidi ya Magufuli! Kama mlifikiri atakuwa weak basi mmeula wa chuya! Tunapita mlemle!Mbona Rais wetu hajavaa barakoa.
Kwani hata sisi si rulihamia tu Tanzania way back.Mimi mtu akishamnyoshea kidole mwenzie kwamba sisi raia,namuona kama mtu aliye firisika kimawazo.Acha ujinga, badilikeni.Humjui. Ww ni bendera fuata upepo tu. Huyo hata Uraia wake tuna mashaka nao.
Wala hatutaki watu wa kulinda maslahi ya hayati na team yake.
Pia Rais Mama Samia (ni mwanamke) hawezi kuwa na Katibu kiongozi Mwanaume! Kuna Mambo Ya KIKE hafai kujua siri za Mwanamke!
Yanakuhusu nini,uchimvi mtupu,aliyekuambia mama yake mzazi yuko Dar niMbona mama mzazi simuoni hapo. Yu wapi?