Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,085
- 2,593
At last mama nae atakuwa kapumua!
simpatii picha mume wake na Angela Kairuki uko uchina ubalozini furaha yake itakuwa haina kikomo!
ahahaha
Nikifikiria Makonda na Babake sipati pichaAcha tu,..maisha yanaenda kasi kuliko. Wiki tu! Tayari tuna Rais mwengine. Mbwembwe zote zile na ubabe sasa hivi yupo tu..kiwiliwili.Inatia simanzi,huruma na inafikirisha.
Mungu kweli muweza wa kila kitu.
Jokate anaweza kuolewa sasaHivi mke wa marehemu si anaweza kuolewa tena wajameni. Kama Graca Machel vile wakuu.
Hata mimi najiuliza hivi.Kwani ameshtoka Ikulu au nyumbani kwake wapi Tena?
Jokate anaweza kuolewa sasa
Kiswahili cha wapi hikiii? Wahamiaji haramu mmeanza kuhamia Tz mapema hivi?Kuna baadh wa watu akir zao ni finyu mnafulahi mtu kufarik amjui kama kila nafs itaonja mauti kifo ni ibada tunajua kifo kimegusa wanyonge watu wenye mipango yenu nd mnafulahia
Amshukuru Mungu she is finally free
Sasa afanye faster aolewe
Mama katua zigo la misumariNamuonea huruma sana huyo mama janet.
Yaani kama ndoto vile[emoji20][emoji20][emoji20].
Chuma kimelala kweli au naota?
Unaongea ujinga....Humjui. Ww ni bendera fuata upepo tu. Huyo hata Uraia wake tuna mashaka nao.
Wala hatutaki watu wa kulinda maslahi ya hayati na team yake.
Pia Rais Mama Samia (ni mwanamke) hawezi kuwa na Katibu kiongozi Mwanaume! Kuna Mambo Ya KIKE hafai kujua siri za Mwanamke!
Kwamba una suggest katibu mkuu kiongozi nae awe wa kike au?Humjui. Ww ni bendera fuata upepo tu. Huyo hata Uraia wake tuna mashaka nao.
Wala hatutaki watu wa kulinda maslahi ya hayati na team yake.
Pia Rais Mama Samia (ni mwanamke) hawezi kuwa na Katibu kiongozi Mwanaume! Kuna Mambo Ya KIKE hafai kujua siri za Mwanamke!
Kuna baadh wa watu akir zao ni finyu mnafulahi mtu kufarik amjui kama kila nafs itaonja mauti kifo ni ibada tunajua kifo kimegusa wanyonge watu wenye mipango yenu nd mnafulahia
Huu ndio mtaji wa CCM hata kuandika hujui.Kuna baadh wa watu akir zao ni finyu mnafulahi mtu kufarik amjui kama kila nafs itaonja mauti kifo ni ibada tunajua kifo kimegusa wanyonge watu wenye mipango yenu nd mnafulahia
Kama kila mtu atakataa kutangulia kama wewe,atangulie nani sasa ?Sawa kufa tutakufa tu ila cha muhimu usitangulie kufa.
Mimi pia nashangaaMbona Rais wetu hajavaa barakoa.
Najua ww pia ni mkimbizi. Hicho kiswahili ni dhahili. Tz haiwezi kupewa wakimbizi kamwe kuingoza! Tena SAMIA aanze msako rasmi.Kwani hata sisi si rulihamia tu Tanzania way back.Mimi mtu akishamnyoshea kidole mwenzie kwamba sisi raia,namuona kama mtu aliye firisika kimawazo.Acha ujinga, badilikeni.
Wewe usie mtaji wa CCM umelisaidia nini Taifa tofauti na kodi (kama unalipa lakini),ambacho huyo wa CCM hawezi?Huu ndio mtaji wa CCM hata kuandika hujui.