Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

Mbona wao wanavaa barakoa, hata wao wazungu wapo wenye mawazo kama yako.
Dah!Ndio maana mnawaambia mjiongeze.Usiamini kila kitu.

Ila,umeulizwa,swali zuri:mbona wao wanavaa?Hili ni soma ambalo lina kina na marefu,so next time.
 
Kipindi kile the late mhe. alitukejeli sana wazaramo eti hatuwezi kumuoa sasa ngoja tuwaonyeshe watanzania wazaramo ni watu wa dizain gani
Na ww ukifa watanzania wakuonyeshe nini? Au mwenzetu una Mkataba na Mungu?
 
Kuna tofauti kati ya katibu wa rais na katibu mkuu kiongozi,we unazungumzia katibu wa rais.
 
Mama Samia kasoma na ni intelligent, hawezi kufanya ujinga huo.Na kwa taarifa yako,mimi ni Mpare,ila najua huku tulihamia,wanadamu wote tulitoka Middle East,ndio tukasambaa dunia nzima.
Okay. Ni mawazo yangu. Na ww huna uhakika na atakacho kifanya. Ana maono yake. Hata haya ni mawazo yako. So tusipangiane maoni JF.
 
Akili za jiwe hizi Bado wewe jinga kabisa
Science ina uhusiano gani na Jiwe.Tatizo ni kwamba badala ya kusikiliza independent scientists mnasikiliza comprompized scientists na udaku.Mtadanganywa sana.
 
Hapo ni wapi

Ni Ikulu au sehemu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…