Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

Kwani ukisema Salva Kiir utafungwa?
 
Wenye kazi zao wamemaliza walichotumwa,njia kuu 2,kupitia chakula au hewa.
Utasikia pressure na kushindwa pumua
 
Kufa kufaana. Yupo anayekodolea jicho kiti Cha mtu
 
Shetani hafai kabisa,alimdanganya madam ukila hakika hautakufa,na madam bila kutakafali akatamani na kuchuma tunda alilokata Mungu; akala,na kumpa mumewe naye bila akala na hapo ndipo haya yanayotokea yakaanza kwa sababu Mungu akajitenga na kumwambia Adamu"Hayanihusu" yangalie mwenyewe
 

Tabia za kike like, kampigie mkeo hizo story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…