Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

Jina bandia halafu unakuwa mwoga tena? sema Salva Kir yupo mahututi. hata juzi Serikali yake imekanusha kuwa amekufa, wanasema anachapa kazi kweli kweli wakati ukweli ni kwamba afya yake ni tia maji tia maji.
 
Raisi Gani huyo kama ni yule mshenzi na atembee tu
 
Ee Mungu tunakuomba ikikupendeza umjalie afya huyu kiongozi aliyetajwa na mtoa mada. Mapenzi yako yatimizwe.
 
Hiyo ilitabiriwa na manabii kuna nchi afrika mashariki bendera itapepea nusu mlingoti!! Mungu anusuru
 
Wahi mirembe
 
ni Salva Kiir Mayardit73 wa Sudan Kusini ndie aliezushiwa tangu majuzi kwamba hatunae tena, taarifa ambazo zimekanushwa na serikali yake, japo ni wazi kwamba mzee ni ngonjwa 🐒
 
bwana museveni au ni yule msudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…