Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

Eti tumwombee Mungu! Natamani afe na siku ya msiba wake, waliobaki watakaoenda kumzika waangukiwe na jukwaa wafe pia! Nyambaff
 
Salva Kiiri niko Juba hapa za chini ya kapeti zinasema tayari kesharudisha mpira kwa kipa ila wanaweka mambo sawa kwanza
 
East Africa ataanza

1. Salva Kiir
2. MU7 mwakani.

Baada ya hapo upepo utatulia kwa miaka kadhaa...
 
Siasa imealibu watu wengi sana .

Ajabu sasa mnaombea na kushangilia vifo vya hao marais bado Rais anatoka kwenye mfumo wa rais aliyekufa mnaendelea kuteseka na kubweka.
 
Siasa imealibu watu wengi sana .

Ajabu sasa mnaombea na kushangilia vifo vya hao marais bado Rais anatoka kwenye mfumo wa rais aliyekufa mnaendelea kuteseka na kubweka.
Wewe upo sayari gani? Au umeolewa kwenye familia ya rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…