Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

Atakuwa museven au kagame
 
Jina bandia halafu unakuwa mwoga tena? sema Salva Kir yupo mahututi. hata juzi Serikali yake imekanusha kuwa amekufa, wanasema anachapa kazi kweli kweli wakati ukweli ni kwamba afya yake ni tia maji tia maji.
Je uo ndo ule utabiri wa mkuu britanica au tusubiri utabiri mwingine?
 
Lakini wapo watu wakifa wengine wanapata ahueni mpaka wengine wanajipongeza kwa beer.

Kuna siku alifariki namba moja wa nchi fulani. Mzee mmoja akashangilia sana. Kafunga bar nzima watu wanywe yeye atalipa.
Ilikuwa kipindi cha Covid. Jamaa yule aliyefanya sherehe, covid ikajamuondoa mwezi mmoja baadae. Inasemekana alipata Covid akiwa safari. Bila kujua, akaenda haraka haraka kupata chanjo. Ndio ukawa mwisho wake.
Kuna ni ahadi...na hata tukichekana vipi, hakuna manusura ya process inayoitwa kifo
 
Ngapi Huko ?
Engineer Soma Wewe
By Agrey Mwanri
 
only in afrika vibabu viraisi vijana hawana kazi na wanaendelea kuburuzwa tu SHAME.
 

au labda walimzidi ujanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…