Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

Ni yule wa kabla ya July au?
 
Ni yule wa kabla ya July au?
 
Kuuguua kwa Rais siyo siri.
King Charles anapolazwa hospitali tunasikia
 
Huu upumbavu wenu msiwe mnauleta hapa JF home of great thinkers, sasa mleta uzi ulikua na haja gani ya kuficha na kumtaja jina huyo rais nini mbaya?? wabongo kwa unafiki tunaongoza afrika mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…