Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ahudhuria msiba wa Gabriel Ndugulile, Baba wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni

Kama hamtuambii marehemu alikuwa nani basi sisi tutasema alikuwa mtu wa KITENGO.
 
Poleni sana familia ya Mhe. Ndungulile.
Faraja ya Mungu alie juu, iwe juu yenu nyote.
Maombi na sala ziwe kwenu wakati huu wa masiba na baada ya msiba
 
Huu msiba na kipindi hiki! Duh...! Poleni wafiwa siasa hzzz. Maana hajaugua, kifo cha gafra eeh
 
Poleni sana wafiwa, RIP Mzee Ndugulile
 
Sorry

Nauliza tu, hivi huyu mzee Aliyefariki alikuwa na cheo gani serikalini

hata kama marehemu angekuwa na cheo serikalini bado hapaswi kupewa ndege ya kupeleka msiba kwa gharama zetu sisi...

Waafrika tukoje? Maskini na mnyonge ndo alipie ndege kwa mwenye uwezo, mbunge waziri???

Yani ma perks and privileges yooote mpaka vocha za simu mpaka furniture, petroli dereva bure, walinzi polisi wenye bunduki bure nyumbani kwao hawa mawaziri, hawatosheki???

The talk of serikali ya Wanyonge maana yake nini, kuwaruhusu machinga barabarani na stendi za mikoa? Ni hicho tu ???
 
ASANTE JK KWA KUTUWAKILISHA WATANZANIA. HUO NI MSIBA MKUBWA SANA! AMEFIWA MBUNGE WA TANZANIA, MBUNGE WA TAIFA LA TANZANIA. WATANZANIA BILA KUJALI ITIKADI ZETU ZA DINI NA SIASA TUMEFIWA!
 
WEWE TUNAKUJUA NI SHOGA YAKE YULE BWANA ALIYEANGUKIA PUA. VIPI BASHITE ANAENDELEAJE NA SHUGHULI ZA VINYUNGUNI? NASIKIA AMEANZA KUJISHUGHULISHA NA KILIMO CHA MBOGAMBOGA
 
HIVI MZEE JIWE ANAJISIKIAJE DUNIA NZIMA INAVYOFURAHI KWA MWANAE MPENDWA KUANGUKIA PUA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…