BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,585
- 11,601
Ohh Sarah Msafiri ni mke wa ndoa wa yule mlinzi pendwa wa Magufuli, yule mweusiNi mkuu wa Wilaya ya Kigamboni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohh Sarah Msafiri ni mke wa ndoa wa yule mlinzi pendwa wa Magufuli, yule mweusiNi mkuu wa Wilaya ya Kigamboni
Lazima iwe hivyo ni ushindi wa taifa zima. Hata kule Rombo mzee Saanane nasikia amechinja ng'ombe.Pole kwa msiba ushindi wa ndugulile kigamboni ulifanya nchi itetemeke hivi
Hashangai wanaotaka kuongeza muda wa kukaa madarakaniBinadamu hatosheki, leo mvua ikinyesha kesho atataka jua
Bashite amefika kutoa pole kwa Dr Ndungulile?
Kamuulize yeye.Bashite amefika kutoa pole kwa Dr Ndungulile?
Mkuu wa wilaya kgambniPoleni na msiba, je huyu mmama mwenye gauni jeusi lenye vidoti vyeupe ni nani kapendeza sana.
Huyo mama umbo lake zuri halijajificha kabisa. Ohh sory, Rip mzee Ndugulile
Aliwahi kuwa Balozi Zambia.Sorry
Nauliza tu, hivi huyu mzee Aliyefariki alikuwa na cheo gani serikalini
Sorry
Nauliza tu, hivi huyu mzee Aliyefariki alikuwa na cheo gani serikalini
Asante sana kumbe ni yule alikuwaga ticha.Thanks.Mkuu wa wilaya kgambni
ASANTE JK KWA KUTUWAKILISHA WATANZANIA. HUO NI MSIBA MKUBWA SANA! AMEFIWA MBUNGE WA TANZANIA, MBUNGE WA TAIFA LA TANZANIA. WATANZANIA BILA KUJALI ITIKADI ZETU ZA DINI NA SIASA TUMEFIWA!Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo.
Ndugu Dkt. Ndugulile akitoa shukrani kwa watu wote kuhudhuria na kutoa salamu za pole na rambirambi kwa msiba uliowapata kuondokewa na Baba yao kipenzi marehemu Mzee Gabriel Ndugulile.
Pia ametoa shukrani kwa niaba ya familia kwa Mhe.Rais JP.Magufuli kuwapatia ndege moja ya serikali kasafiria kuelekea Mkoani Tabora kwa mazishi.
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mhe.Sarah Msafiri akitoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu Gabriel Ndugulile kwa niaba ya Serikali nzima ya Manispaa ya Kigamboni.
Mhe. Faustine Ndugulile Mbunge wa Jimbo la Kigamboni alifiwa na Baba Mzazi Gabriel S. Ndugulile Jumamos 18.07.2020 Asubuhi. Msiba upo Nyumbani Kwake Ferry, Kigamboni, Dar Es Salaam
WEWE TUNAKUJUA NI SHOGA YAKE YULE BWANA ALIYEANGUKIA PUA. VIPI BASHITE ANAENDELEAJE NA SHUGHULI ZA VINYUNGUNI? NASIKIA AMEANZA KUJISHUGHULISHA NA KILIMO CHA MBOGAMBOGAhata kama marehemu angekuwa na cheo serikalini bado hapaswi kupewa ndege ya kupeleka msiba kwa gharama zetu sisi...
Waafrika tukoje? Maskini na mnyonge ndo alipie ndege kwa mwenye uwezo, mbunge waziri???
Yani ma perks and privileges yooote mpaka vocha za simu mpaka furniture, petroli dereva bure, walinzi polisi wenye bunduki bure nyumbani kwao hawa mawaziri, hawatosheki???
The talk of serikali ya Wanyonge maana yake nini, kuwaruhusu machinga barabarani na stendi za mikoa? Ni hicho tu ???