Rais mstaafu Jakaya Kikwete amehitimisha mapumziko yake kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti


Kwa kweli ni vizuri kuoa mke unayemzidi sana umri!! Ona hapa baba ana 72 yrs na mama ana 59 yrs lakini utadhani hawatofautiani kivile kiumri!! Nampongeza sana baba kwa kuliona hilo mapema. Angekuwa na mke wa miaka 72 asingeweza hata kuwa anatoka naye kwa sasa maana angekuwa kikongwe!! Hongera sana baba!! NImpongeze pia mama kwa kuchagua kuolewa na mtu mzima zaidi yake, maana angekuwa ameolewa na mume wa miaka 60 muda huu mume angekuwa anamkwepa kwenda out!! Hongera sana mama pia!!
 
Mzee Kikwete bado ananguvu,yuko fit alafu ana nuru.hana tofauti na mzee Mwinyi maisha marefu yenye baraka na afya nzuri.
namtakia kila la heri Rais wetu mstaafu mzee Kikwete[emoji120]
Wangekuwa Wagalatia ungesema haya Sultan Khalifa? Halafu ni Wagalatia tu ndiyo wanakufa. Sijui kuna siri gani hapa. Kuna haja ya kusilimu aisee [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 

Ameenda kukagua hotel zake.
 
Kikwete atabaki kuwa kipenzi cha wafanyakazi nchini Tanzania, kila mwaka mshahara ulipanda kwa kiasi kikubwa!! Alipotoka tu madarakani wafanyakazi wakapata fursa ya kujua maana ya msemo wa kiswahili: Ng'ombe hajui faida ya mkia wake mpaka hapo utakapokatika!! Mwaka huu wameongezewa kama mat*si vile!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…