Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM


Utaratibu wa kipuuzi na kibyurokratik bila sababu ya msingi! VC anapaswa kwanza apatikane kwa academic na leadership merits. Watu watume maombi, kisha internal na external reviewers wapitie maombi na kupendekeza mtu, ambaye council ya chuo itaidhinisha.

Yaani sisi bado tupo zama za kale!!
 
Unashangaa nini..
Wewe ndio hujui chochote. Yuko sahihi kabisa... Acha kukariri..
 
Hao wasomi unayotasema wewe mchakato umefanyika zaidi ya miaka miwili, hii ilikuwa kukamilisha tu Ratiba , Mchakato navyojua umeanza kusikika toka 2015.
 
Naona CV ya Prof. Anangisye imeshiba

Haya ngoja tusibili jembe jingine litakalo ziba nafasi ya Prof. Florens D.A.M. Luoga ya Deputy Vice chancellor Academic (DVCA)
he is an associate professor
 

Ni kweli lakini Mzee Meko alimuongezea muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…