Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
VC wa sasa muda wake unaisha tarehe 31/12/2017 na hawezi kuongezewa muda kisheria.
Hilo linajulikana na ndiyo utaratibu.
Hakuna VC anayeteuliwa bila consent ya Rais. Senate na council ni sehemu tu ya mchakato wa lazima ili kumpata VC lakini hawezi pata hiyo position bila consent ya Rais aliyepo madarakani.
VC aliyepo aliteuliwa wakati wa Kikwete
Utaratibu wa kipuuzi na kibyurokratik bila sababu ya msingi! VC anapaswa kwanza apatikane kwa academic na leadership merits. Watu watume maombi, kisha internal na external reviewers wapitie maombi na kupendekeza mtu, ambaye council ya chuo itaidhinisha.
Yaani sisi bado tupo zama za kale!!