Kuna kakikundi mtandaoni linapokuja suala la JPM kanataka kutengeneza attention isiyo na ulazima.Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na awamu ya tano na kukamilika na awamu ya sita chini ya ungozi wa Mama Samia Suluhu Hassan.
HapohapoKuna kakikundi mtandaoni linapokuja suala la JPM kanataka kutengeneza attention isiyo na ulazima.
Kwani JK aliposema zilianza na awamu ya tano alimaanisha nn?
Kuna kakikundi bado hakajajulikani kana maslahi gani na jina la JPM. Kanajigawa mara mbili, kanaweza kuja na kashfa juu ya JPM halafu watokee watu wa kuipinga au kakaja na hoja ya kusifia kupita kipimo halafu wanatokea watu wa kuponda ila ni wale wale tu.Nimetoka kusoma uzi hapa kwamba watu wana mtajataja sana Magufuli, huu uzi wa tatu sasa naona malalamiko kuwa hatajwi! Hivi wanaolalamika ni walewale au ni tofauti?
Hawa ni MANIPULATORS.Kuna kakikundi bado hakajajulikani kana maslahi gani na jina la JPM. Kanajigawa mara mbili, kanaweza kuja na kashfa juu ya JPM halafu watokee watu wa kuipinga au kakaja na hoja ya kusifia kupita kipimo halafu wanatokea watu wa kuponda ila ni wale wale tu.
Shetani hawezi kutajwa mahali patakatifu!
ShetaniShetani nani anatajwatajwa sana
MkuuRais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema imekamilikia vizuri na inapendeza.
Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na awamu ya tano na kukamilika na awamu ya sita chini ya ungozi wa Mama Samia Suluhu Hassan.
KIKWETE ana wivu sanaRais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema imekamilikia vizuri na inapendeza.
Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na awamu ya tano na kukamilika na awamu ya sita chini ya ungozi wa Mama Samia Suluhu Hassan.
Angemtajaje Magufuli aliyefisidi rasilimali zote za taifa akaenda kujenga Chato? Na ile hoteli ya nyota 5 aliyojenga Chattle kwa kutumia hela za walipakodi sasa imegeuka maskani ya popo. Mungu hamfichi mwizi.Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema imekamilikia vizuri na inapendeza.
Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na awamu ya tano na kukamilika na awamu ya sita chini ya ungozi wa Mama Samia Suluhu Hassan.
MkuuKIKWETE ana wivu sana
Samahani mbona sikumbuki kama niliwahi kukutindua na kukutoa kinyesi?Mkuu wewe ni pimbi
Chato ni Jamhuri ya Kongo sio Tanzania? Ila kujenga vituo vya mafuta kila baada ya mita 300 kwa umbali wa kilomita 50 kutoka Ruvu hadi Chalinze ndio sahihi?Angemtajaje Magufuli aliyefisidi rasilimali zote za taifa akaenda kujenga Chato? Na ile hoteli ya nyota 5 aliyojenga Chattle kwa kutumia hela za walipakodi sasa imegeuka maskani ya popo. Mungu hamfichi mwizi.
Watu mna homa ya Magufuli.Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema imekamilikia vizuri na inapendeza.
Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na awamu ya tano na kukamilika na awamu ya sita chini ya ungozi wa Mama Samia Suluhu Hassan.
Samahani mbona sikumbuki kama niliwahi kukutindua na kukutoa kinyesi?
Sasa ulitaka amtaje Magufuli wa nini wakati alikaribia kuangamiza nchi kama siyo Mungu kuingilia kati!! Bora alivyom skip.Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema imekamilikia vizuri na inapendeza.
Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na awamu ya tano na kukamilika na awamu ya sita chini ya ungozi wa Mama Samia Suluhu Hassan.
Wote waliokwepa kumtaja pumzi yao anayo Mungu aliye hai na hawana mkataba na yeye hivyo wala usitie shaka maana alifanya kazi siku sita ya saba akapumzikaBinafsi nilikiwa nasubiri apewe tuzo kwa heshima na juhudi zake na hilo limekekelezeka pamoja na jina kukwepwa kutajwa walikuwa wanamtaja kama wana hesitate 😊