Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,107
- 9,272
Bora angempa yule mama mzanzibari, nauwakika leo tusingekuwa hapa.Kwa hiyo JK ni Nabii!!🤔 Ilikuwaje aliamua kuwajaza wanasiasa kwenye lile Bunge la Katiba kiasi cha kusababisha mtafuruku kati Ukawa na Ccm? Maana ile Rasimu ilipendekeza kabisa upunguzwaji wa madaraka ya Rais, nk!
Na ilikuwaje Nabii JK kwa makusudi kabisa mwaka 2015, akaamua kwa makusudi kabisa kuuvuruga mchakato wa kumpata mgombea wa Urais kupitia Ccm? na mwisho wa siku kufanya ule uamuzi wa hovyo wa "Bora tukose wote" na hivyo kutuletea mtu ambaye kimsingi aliingia kwenye kile kinyang'anyiro kwa majaribio!
Research & Case studies kuhusu tribal biases and general perceptions? Published? In reputable peer reviewed journals?Kuna general tabia ya kila kabila inaitwa asili aipotei hata uwe na PhD plus plus.Thus inatadharishwa leseni ya udereva sio kila mtu wengine wabakie kwenye utingo.by research by experience Case study
90% work but chance ya kurithi kupitia genetic, environment,nk.Research & Case studies kuhusu tribal biases and general perceptions? Published? In reputable peer reviewed journals?
Mi najua ni utani tu tunataniana basi. Wasukuma hivi. Wachaga vile. Wahaya hivyo n.k. na yanaishia hapo. Huwa simhukumu mtu eti kwa sababu kabila fulani .....
Sawa [emoji16][emoji16][emoji16]9
90% work but chance ya kurithi kupitia genetic, environment,nk.
Leadership skills siyo suala la ukabila, ni suala la uwezo binafsi na ustaarabu wa mtu husika.
Viongozi huandaliwa, kuzaliwa familia flani, au koo flani au kabila flani hakuwezi kuwa sifa ya kuwa kiongozi bora.
Wala kipaji pekee kisicho boreshwa hakiwezi kutosha kumfanya mtu awe kiongozi bora.
Kila familia, koo, na kabila kuna watu wenye sifa za kiungozi bora na wanaokosa sifa za uongozi.
Hata ndani ya makundi hayo juu watu hutofautiana maendeleo.
Mtu ambae uwezo wawe mdogo kumbanua na kuchanganua mambo ndiyo akili yake hufunikwa na giza la mawazo ya kikabila na ubinafsi.
Umesahau nyuzi zako ulizomtukana humu .unakuwa kama zuzu hukumbuki Jana ulisema lini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kweli. Nchi hii apewe Kiduku Lilo. Miaka miwili tu kila Mbongo atakuwa na Jeep au Range kabisa. Mwaka huu Wachaga na Wahaya jitokezeni kwa wingi kugombea....Kabila la mtu lina mchango mkubwa kumshape mtu atakavyokuwa huko mbeleni.. mtu akitoka kwenye kabila lilio nyuma kimaendeleo bila shaka na yeye atakuwa nyuma vile vile.. makabila yaliyo nyuma hata jinsi yanavyoendesha maisha yao huwa hayaeleweki.. yaani roho mbaya, uchawi na kukomoana ndo mpango mzima. Binafsi sioni kwa nini raisi awe muha au mpangwa au mgogo, au mzinza.. haya na makabila mengine mengi ni duni kabisa hata watu wake hamna kitu..
Ningekuwa na uwezo makabila ya kutoka viongozi wa juu ni mawili tu.. wahaya na wachaga.. bhaasi..
Haya makabila mengine yana mambo ya kipuusi sana.. walitakiwa wawe wanakata mikonge huko Tanga
Jiulize huyo BWM anapata wapi nguvu nyingi kuliko JK ambaye ni mwenyekiti wa CC, NEC na CCM yenyewe? Msimvishe lawama bure BWM hilo alilikoroga JK mwache alinywe mwenyewe.Paragraph ya chini Ulichokiandika sio kitu cha kua nach uhakika Sana
Wapo wanaosema Mwl wa chemistry hakua chaguo la JK bali Lilikua chaguo la Mtu Mfupi JK chaguo lake Lilikua ni BM
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maneno hata Baba wa taifa aliyasema baada ya kustaafu,na mh.Kikwete aliyasema"Madara ya Rais nimakubwa mno kiasi naona kama atatokea kiongozi akayatumia vibaya itakuwa ni shida kubwa" at that time hatukumuelewa na wazo lake lilipigwa chini bungeni.
Chadema si mlisema kikwete kazi yake kucheka cheka ohh Raisi anatakiwa kuwa mkali mumenyooka Hadi mnamwiita Kikwete nabii!!! Na Bado mtamwita Hadi Mungu.
Ukombozi halisi wa nchi hii utatokana na makabila haya mawili maana ndo pekee wanaojielewa.. wengine dah.. tuwasameheIla kweli. Nchi hii apewe Kiduku Lilo. Miaka miwili tu kila Mbongo atakuwa na Jeep au Range kabisa. Mwaka huu Wachaga na Wahaya jitokezeni kwa wingi kugombea....
Wewe huna tofauti na tunapotolea mzigo tukivimbiwa. Mbona umejaa ujinga hivi?Bahati nzuri tuna Rais magufuli Mzalendo aneyewapenda Watanzania
Watanzania tupo vizuri
Mh Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kutabiri na kiukweli leo nina diriki kusema huyu alikuwa nabii.
Alipo fika pale ikulu aliona jambo moja la hatari sana ndani ya chama na ndani ya kiti cha Rais. Kwa Upendo mkubwa sana na busara zake aliwaita wataalamu wa sheria na wakachambuwa madaraka ya Rais. Kazi ngumu ilifanyika na mwisho waziri wa wakati ule Hawa Ghasia if not Sophia Simba akapewa muswaada kupeleka bungeni.
Kiukweli watu walipinga nakumuona Mh Kikwete hakuwa na nia njema kwa mamlaka ya Rais. Lakini akielezea dhima ya kupeleka ule mswaada bungeni haya ndio yalikuwa maneno yake, "Madara ya Rais nimakubwa mno kiasi naona kama atatokea kiongozi akayatumia vibaya itakuwa ni shida kubwa" at that time hatukumuelewa na wazo lake lilipigwa chini bungeni.
Miaka imepita sasa leo tunamkubuka huyu nabii ambaye sasa ni mstaafu.
Huyu Nabii aliposhindwa kwenye hili akahangaika kufanya reforming ndani ya chama nakushusha madaraka kwa wanachama alifanikiwa kwa kiasi kikubwa il alipofika kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa chama na Kofia ya Rais watu waliinuka nakumuona kama pia ana agenda binafsi leo watu wanaona wakati huwo Mzee yupo msoga anafuga Ng'ombe nakula miogo.
Kiufupi tumekwama na kwakuwa yeye anakula pensheni yake kama mshauri ktk chama. Basi watu wanaisoma Namba kama hivi nakumkumbuka.
Kumbe JK pamoja na mapungufu yake alikuwa Rais Nabii aliyeona leo.
Ukabira na uongozi huwezi tenganisha coz Kuna makabira yameumbwa kwa ajili ya kuwa viongozi ,Leadership skills siyo suala la ukabila, ni suala la uwezo binafsi na ustaarabu wa mtu husika.
Viongozi huandaliwa, kuzaliwa familia flani, au koo flani au kabila flani hakuwezi kuwa sifa ya kuwa kiongozi bora.
Wala kipaji pekee kisicho boreshwa hakiwezi kutosha kumfanya mtu awe kiongozi bora.
Kila familia, koo, na kabila kuna watu wenye sifa za kiungozi bora na wanaokosa sifa za uongozi.
Hata ndani ya makundi hayo juu watu hutofautiana maendeleo.
Mtu ambae uwezo wawe mdogo kumbanua na kuchanganua mambo ndiyo akili yake hufunikwa na giza la mawazo ya kikabila na ubinafsi.