Miogo ni nini mkuu?Mh Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kutabiri na kiukweli leo nina diriki kusema huyu alikuwa nabii.
Alipo fika pale ikulu aliona jambo moja la hatari sana ndani ya chama na ndani ya kiti cha Rais. Kwa Upendo mkubwa sana na busara zake aliwaita wataalamu wa sheria na wakachambuwa madaraka ya Rais. Kazi ngumu ilifanyika na mwisho waziri wa wakati ule Hawa Ghasia if not Sophia Simba akapewa muswaada kupeleka bungeni.
Kiukweli watu walipinga nakumuona Mh Kikwete hakuwa na nia njema kwa mamlaka ya Rais. Lakini akielezea dhima ya kupeleka ule mswaada bungeni haya ndio yalikuwa maneno yake, "Madara ya Rais nimakubwa mno kiasi naona kama atatokea kiongozi akayatumia vibaya itakuwa ni shida kubwa" at that time hatukumuelewa na wazo lake lilipigwa chini bungeni.
Miaka imepita sasa leo tunamkubuka huyu nabii ambaye sasa ni mstaafu.
Huyu Nabii aliposhindwa kwenye hili akahangaika kufanya reforming ndani ya chama nakushusha madaraka kwa wanachama alifanikiwa kwa kiasi kikubwa il alipofika kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa chama na Kofia ya Rais watu waliinuka nakumuona kama pia ana agenda binafsi leo watu wanaona wakati huwo Mzee yupo msoga anafuga Ng'ombe nakula miogo.
Kiufupi tumekwama na kwakuwa yeye anakula pensheni yake kama mshauri ktk chama. Basi watu wanaisoma Namba kama hivi nakumkumbuka.
Kumbe JK pamoja na mapungufu yake alikuwa Rais Nabii aliyeona leo.
lakini kasema kweli?Makabila tena Mkuu. Nakuomba uivue hiyo akili brother. Mambo ya Kabila achana nayo kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa mvivu sana. Taarabu kwa wingi.Mh Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kutabiri na kiukweli leo nina diriki kusema huyu alikuwa nabii.
Alipo fika pale ikulu aliona jambo moja la hatari sana ndani ya chama na ndani ya kiti cha Rais. Kwa Upendo mkubwa sana na busara zake aliwaita wataalamu wa sheria na wakachambuwa madaraka ya Rais. Kazi ngumu ilifanyika na mwisho waziri wa wakati ule Hawa Ghasia if not Sophia Simba akapewa muswaada kupeleka bungeni.
Kiukweli watu walipinga nakumuona Mh Kikwete hakuwa na nia njema kwa mamlaka ya Rais. Lakini akielezea dhima ya kupeleka ule mswaada bungeni haya ndio yalikuwa maneno yake, "Madara ya Rais nimakubwa mno kiasi naona kama atatokea kiongozi akayatumia vibaya itakuwa ni shida kubwa" at that time hatukumuelewa na wazo lake lilipigwa chini bungeni.
Miaka imepita sasa leo tunamkubuka huyu nabii ambaye sasa ni mstaafu.
Huyu Nabii aliposhindwa kwenye hili akahangaika kufanya reforming ndani ya chama nakushusha madaraka kwa wanachama alifanikiwa kwa kiasi kikubwa il alipofika kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa chama na Kofia ya Rais watu waliinuka nakumuona kama pia ana agenda binafsi leo watu wanaona wakati huwo Mzee yupo msoga anafuga Ng'ombe nakula miogo.
Kiufupi tumekwama na kwakuwa yeye anakula pensheni yake kama mshauri ktk chama. Basi watu wanaisoma Namba kama hivi nakumkumbuka.
Kumbe JK pamoja na mapungufu yake alikuwa Rais Nabii aliyeona leo.
Hii ni zaidi ya unafiki.Jamaa alikuwa vizuri sn sema sisi ndiyo tulikuwa hatumwelewi maana uwezo wake ulikuwa mkubwa sn wakuongoza hata Marekani.
Hakuna ukweli wowote hapo Mkuu mwalisi. Maana akishamaliza hapo ataanza kumchunguza mama yake kama si wa kabila hilo ataanz kumdharau.lakini kasema kweli?
Unaandika ujinga gani huu? Lini hapa TZ muswada wa serikali uliwahi kupigwa chini? Unaandika kwa kuamini unawajulisha wajinga au watoto?Mh Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kutabiri na kiukweli leo nina diriki kusema huyu alikuwa nabii.
Alipo fika pale ikulu aliona jambo moja la hatari sana ndani ya chama na ndani ya kiti cha Rais. Kwa Upendo mkubwa sana na busara zake aliwaita wataalamu wa sheria na wakachambuwa madaraka ya Rais. Kazi ngumu ilifanyika na mwisho waziri wa wakati ule Hawa Ghasia if not Sophia Simba akapewa muswaada kupeleka bungeni.
Kiukweli watu walipinga nakumuona Mh Kikwete hakuwa na nia njema kwa mamlaka ya Rais. Lakini akielezea dhima ya kupeleka ule mswaada bungeni haya ndio yalikuwa maneno yake, "Madara ya Rais nimakubwa mno kiasi naona kama atatokea kiongozi akayatumia vibaya itakuwa ni shida kubwa" at that time hatukumuelewa na wazo lake lilipigwa chini bungeni.
Miaka imepita sasa leo tunamkubuka huyu nabii ambaye sasa ni mstaafu.
Huyu Nabii aliposhindwa kwenye hili akahangaika kufanya reforming ndani ya chama nakushusha madaraka kwa wanachama alifanikiwa kwa kiasi kikubwa il alipofika kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa chama na Kofia ya Rais watu waliinuka nakumuona kama pia ana agenda binafsi leo watu wanaona wakati huwo Mzee yupo msoga anafuga Ng'ombe nakula miogo.
Kiufupi tumekwama na kwakuwa yeye anakula pensheni yake kama mshauri ktk chama. Basi watu wanaisoma Namba kama hivi nakumkumbuka.
Kumbe JK pamoja na mapungufu yake alikuwa Rais Nabii aliyeona leo.
Ujinga kama huu usije kutuambukiza wengine!Jamaa alikuwa vizuri sn sema sisi ndiyo tulikuwa hatumwelewi maana uwezo wake ulikuwa mkubwa sn wakuongoza hata Marekani.
Kwa maneno hayo tu inaonesha uko hoi kichwani!Tatizo letu Tz tunachagua marais wetu kwa kuangalia makabila yaliyonyuma zaidi kimaendeleo haya....
JK alikuwa na fursa ya kutuletea KATIBA MPYA, lakini hakuweza kutekeleza hilo. Atakumbukwa mno kwa kuanzisha DANGANYA TOTO ya mchakato wa katiba mpya nchini.Mh Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kutabiri na kiukweli leo nina diriki kusema huyu alikuwa nabii.
Alipo fika pale ikulu aliona jambo moja la hatari sana ndani ya chama na ndani ya kiti cha Rais. Kwa Upendo mkubwa sana na busara zake aliwaita wataalamu wa sheria na wakachambuwa madaraka ya Rais. Kazi ngumu ilifanyika na mwisho waziri wa wakati ule Hawa Ghasia if not Sophia Simba akapewa muswaada kupeleka bungeni.
Kiukweli watu walipinga nakumuona Mh Kikwete hakuwa na nia njema kwa mamlaka ya Rais. Lakini akielezea dhima ya kupeleka ule mswaada bungeni haya ndio yalikuwa maneno yake, "Madara ya Rais nimakubwa mno kiasi naona kama atatokea kiongozi akayatumia vibaya itakuwa ni shida kubwa" at that time hatukumuelewa na wazo lake lilipigwa chini bungeni.
Miaka imepita sasa leo tunamkubuka huyu nabii ambaye sasa ni mstaafu.
Huyu Nabii aliposhindwa kwenye hili akahangaika kufanya reforming ndani ya chama nakushusha madaraka kwa wanachama alifanikiwa kwa kiasi kikubwa il alipofika kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa chama na Kofia ya Rais watu waliinuka nakumuona kama pia ana agenda binafsi leo watu wanaona wakati huwo Mzee yupo msoga anafuga Ng'ombe nakula miogo.
Kiufupi tumekwama na kwakuwa yeye anakula pensheni yake kama mshauri ktk chama. Basi watu wanaisoma Namba kama hivi nakumkumbuka.
Kumbe JK pamoja na mapungufu yake alikuwa Rais Nabii aliyeona leo.
Kumbe JK pamoja na mapungufu yake alikuwa Rais Nabii aliyeona leo.
madaraka ya raisi ni makubwa ila akiwa mzalendo hakuna shida. Ni vizuri awe na madaraka makubwa ili ashughulike na mafisadi kikamilifu. Nchi iliyopinda inanyooshwa na raisi mwenye madaraka makubwaKwa hiyo JK ni Nabii!!🤔 Ilikuwaje aliamua kuwajaza wanasiasa kwenye lile Bunge la Katiba kiasi cha kusababisha mtafuruku kati Ukawa na Ccm? Maana ile Rasimu ilipendekeza kabisa upunguzwaji wa madaraka ya Rais, nk!
Na ilikuwaje Nabii JK kwa makusudi kabisa mwaka 2015, akaamua kwa makusudi kabisa kuuvuruga mchakato wa kumpata mgombea wa Urais kupitia Ccm? na mwisho wa siku kufanya ule uamuzi wa hovyo wa "Bora tukose wote" na hivyo kutuletea mtu ambaye kimsingi aliingia kwenye kile kinyang'anyiro kwa majaribio!
Kuna mjadala uliendeshwa hapa JF, Wachaga kwa ukabila wao wakawa wanajiita eti wameendelea. Kwa imani yangu kuendelea ni pamoja na ufahamu. Siku chache zilizofuata wachaga wakakusanyika kuombewa na mnyakyusa kwa kukanyaga mafuta, hadi vifo vya haraiki! Sijawasikia tena wakisema wameendelea. Bwege ni bwege, na muda wote atajivunia mafanikio ya mwenzake akiamini ni yake.Hakuna ukweli wowote hapo Mkuu mwalisi. Maana akishamaliza hapo ataanza kumchunguza mama yake kama si wa kabila hilo ataanz kumdharau.
Hiyo ndo shida ya ukabila, unaanza kuchunguza kwa jirani afu unarudi kuchunguza ndani. Hakuna kabila lililo duni kwa kuumbwa na hakuna kabila lililo bora kwa kuumbwa. Ndo maana kwenye kabila unaloona bora unaweza kuta Kuna watu wa kabila unalozadharau wako vizuri zaidi kiuchumi pengine kuliko wa kabila unalohamiania. Kaa uone Kama kabila litakuletea Maendeleo.
Kama kuna kabila tajiri kwa nini wote waliozaliwa katika kabila hilo, wasiwe matajiri, na kama kuna kabila maskini kwa nini kwenye kabila hilo hilo kuna matajiri wa kutupwa?
Shituka na acha kukumbatia Ukabila.
Sent using Jamii Forums mobile app
JK au Nyerere? Je kwanini mchakato wa katiba haukamilika? Shida ilikuwa nini?Mh Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kutabiri na kiukweli leo nina diriki kusema huyu alikuwa nabii.
Alipo fika pale ikulu aliona jambo moja la hatari sana ndani ya chama na ndani ya kiti cha Rais. Kwa Upendo mkubwa sana na busara zake aliwaita wataalamu wa sheria na wakachambuwa madaraka ya Rais. Kazi ngumu ilifanyika na mwisho waziri wa wakati ule Hawa Ghasia if not Sophia Simba akapewa muswaada kupeleka bungeni.
Kiukweli watu walipinga nakumuona Mh Kikwete hakuwa na nia njema kwa mamlaka ya Rais. Lakini akielezea dhima ya kupeleka ule mswaada bungeni haya ndio yalikuwa maneno yake, "Madara ya Rais nimakubwa mno kiasi naona kama atatokea kiongozi akayatumia vibaya itakuwa ni shida kubwa" at that time hatukumuelewa na wazo lake lilipigwa chini bungeni.
Miaka imepita sasa leo tunamkubuka huyu nabii ambaye sasa ni mstaafu.
Huyu Nabii aliposhindwa kwenye hili akahangaika kufanya reforming ndani ya chama nakushusha madaraka kwa wanachama alifanikiwa kwa kiasi kikubwa il alipofika kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa chama na Kofia ya Rais watu waliinuka nakumuona kama pia ana agenda binafsi leo watu wanaona wakati huwo Mzee yupo msoga anafuga Ng'ombe nakula miogo.
Kiufupi tumekwama na kwakuwa yeye anakula pensheni yake kama mshauri ktk chama. Basi watu wanaisoma Namba kama hivi nakumkumbuka.
Kumbe JK pamoja na mapungufu yake alikuwa Rais Nabii aliyeona leo.
Siri nikubwa tusubiri yajayo. Hausiki kwa lolote.Kwa hiyo JK ni Nabii!!🤔 Ilikuwaje aliamua kuwajaza wanasiasa kwenye lile Bunge la Katiba kiasi cha kusababisha mtafuruku kati Ukawa na Ccm? Maana ile Rasimu ilipendekeza kabisa upunguzwaji wa madaraka ya Rais, nk!
Na ilikuwaje Nabii JK kwa makusudi kabisa mwaka 2015, akaamua kwa makusudi kabisa kuuvuruga mchakato wa kumpata mgombea wa Urais kupitia Ccm? na mwisho wa siku kufanya ule uamuzi wa hovyo wa "Bora tukose wote" na hivyo kutuletea mtu ambaye kimsingi aliingia kwenye kile kinyang'anyiro kwa majaribio!
jambo usilo lijuwa ni kama usiku wa kiza.JK au Nyerere? Je kwanini mchakato wa katiba haukamilika? Shida ilikuwa nini?
Sidhani kama JK ni nabii wa kweli wa Tanzania. Hakumaanisha alichokuwa anasema na kufanya
jambo usilo lijuwa ni kama usiku wa kiza.
Umasikini wa mali ni kitu kibaya ila umasikini wa akili na hekima ni kiama kabisa.
Sasa kumfananisha kikwete na nabii ndio tukueleweje?!
Sent using Jamii Forums mobile app