Pre GE2025 Rais mteue January Makamba awe Balozi huko nchi ya mbali kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naomba. Kuuliza kwani ni razima ukiteuliwa kuwa balozi huwezi kukataa kuwa balozi ni amri kwani? Mpaka ukatekeleze hayo majukumu
 
Hivi kwani mbunge wa kuchaguliwa anaweza kuwa balozi? Mbona wanaogopa sana wakisikia jina la January, huyu jamaa anawapa stress kwakweli.
Wakitaka CCM kumfyeka wanampiga chini tu kule wajumbe wa msimu wa kura za maoni.
 
Januari hoyeee, CCM hoyeee, 2025 ni haki kwa wote hakuna cha fomu moja ya ugombea Urais. CCM inafuata Katiba yake
 
Ujinga mtupu
 
Januari hoyeee, CCM hoyeee, 2025 ni haki kwa wote hakuna cha fomu moja ya ugombea Urais. CCM inafuata Katiba yake

Hiyo haipo mama ataendelea mkak 2030 kwa mfumo wa ccm
 
Ndio ndoto yake hiyo
 


❌❌❌❌🤧🤧🤧 Ndio unamharibia kabisaaaa
 
Kuna tikitaka zitachezwa dakika ya mwisho 2025 wote tutabaki midomo wazi. Marejeo ya 2015 yanakuja. Mtaastajabu hata chura mwenyewe asiwe mgombea.
Ndio maana mama inatakiwa atumie sana akili kama anataka tena uraisi
 
Mkuu pascal, ccm kuna kundi kubwa limejipanga sana, so mama asipocheza karata vzr ,atashia hapo
 
Jamaa wajumbe wote wa kwake
Hata Lowasa alikuwa na NEC yote yake akaimbiwa na nyimbo kilichotokea sote tunakijuwa. Wewe ni mkubwa ukiwa ndani ya chama tu ukijifanya mkubwa kuliko chama unaishia kwa kina Mrema na Membe.
 
Wewe ni mjinga. Hakuna watanzania wengine wenye sifa zaidi huyo tapeli
 
Wewe ni mjinga. Hakuna watanzania wengine wenye sifa zaidi huyo tapeli
Nitajie ambae sio tapeli
, Tanaznia tunazidiana viwangio vya uta peli , iwe chadema au ccm hakuna msafi.
 
CHAMA kinawenyewe mkuu, wakinge ni chawa tu
 
Mnapiga debe ila huyu hafai!
Hivi aliwahi kufanya nini cha kukumbukwa ktk utumishi wake ? Niambieni?
Zaidi ya ile tabia ya "kukwapua!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…