shukru Ayoub Jr
Member
- Jun 9, 2020
- 18
- 11
Naomba. Kuuliza kwani ni razima ukiteuliwa kuwa balozi huwezi kukataa kuwa balozi ni amri kwani? Mpaka ukatekeleze hayo majukumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakitaka CCM kumfyeka wanampiga chini tu kule wajumbe wa msimu wa kura za maoni.Hivi kwani mbunge wa kuchaguliwa anaweza kuwa balozi? Mbona wanaogopa sana wakisikia jina la January, huyu jamaa anawapa stress kwakweli.
kama anamfanana lowasa basi huyo Hana shida tuliona lowasa alivyoishia.Ndio mkuu,raisi katiba inaruhusu, jamaa amejiandaa kama lowasa
Ujinga mtupuNakusalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.
Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na anaushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.
Usisahu huyu amewai kuwa mshindi wa tatu huku nyuma,katika kura za maoni hivyo kisiasa ananguvu. Hivyo ukimteua kuwa balozi ladba huko mexico, au canada kwa lengo la kumpunguza nguvu kisiasa.
NB: ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CHAMA chako, (ccm ) ndio mwisho wako kwanini kwa sababu wewe huna watu, ndani ya ccm hao,wanaokuzunguka ni wanafiki.
lakini pia bila shaka 2030 , utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, HAWA vijana watukusumbua sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.
Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.
Usisahu huyu amewai kuwa mshindi wa tatu huku nyuma, katika kura za maoni hivyo kisiasa ana nguvu. Hivyo ukimteua kuwa balozi ladba huko Mexico, au Canada kwa lengo la kumpunguza nguvu kisiasa.
NB: Ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CCM ndio mwisho wako. Kwanini, kwa sababu wewe huna watu, ndani ya CCM, hao wanaokuzunguka ni wanafiki.
Lakini pia bila shaka 2030, utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, hawa vijana watukusumbua sana.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Mkuu pascal, ccm kuna kundi kubwa limejipanga sana, so mama asipocheza karata vzr ,atashia haponaunga mkono hoja January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
utoaji fomu moja ndio utaratibu wa CCM na sio hoja ya mtu yoyote kuruhusu。
si kweli,wana CCM wote kwa sasa mtu wao ni mmoja tuu, the one and only yeye。
ni baadhi tuu na sii wote。
2030 ni mwaka wa kiama, ama zao ama zetu Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Hata Lowasa alikuwa na NEC yote yake akaimbiwa na nyimbo kilichotokea sote tunakijuwa. Wewe ni mkubwa ukiwa ndani ya chama tu ukijifanya mkubwa kuliko chama unaishia kwa kina Mrema na Membe.Jamaa wajumbe wote wa kwake
Wewe ni mjinga. Hakuna watanzania wengine wenye sifa zaidi huyo tapeliNakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.