Rais mtoe IGP Sirro, Watanzania hawamuamini

Rais mtoe IGP Sirro, Watanzania hawamuamini

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu.

Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si punde atakuchafua bure.
 
Kwa sababu ya mfalme wenu kutiwa nguvuni, tuone kama mtaamua kutokula kwa sabb ya huyo mwenda jela
 
Balozi wa Marekani anasemaje?
 
Ni ujinga kudhani Siro anajiamulia mambo mwenyewe aina hii ya ukosoaji huwa siielewagi kabisa au ndiyo walewale Lumumba kwenye harakati za kumlinda Rais aonekane msafi.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sirro akitoka tu nafasi ya IGP sijui atafanya nini maana hana kila laaana ya wapenda haki. Huyu ni muovu sana. Mimi na shaka uenda anayofanya sio akili yake Wapemba wameshamjeruhi huyu.
 
Sirro akitoka tu nafasi ya IGP sijui atafanya nini maana hana kila laaana ya wapenda haki. Huyu ni muovu sana. Mimi na shaka uenda anayofanya sio akili yake Wapemba wameshamjeruhi huyu.
Ana mashine ya Kusaga unga Shinyanga, ataenda kusagisha
 
Back
Top Bottom