Yule mnyiramba alimharibia MadeluNdo wanaomtuma, ccm wanambebesha mzigo wa maovu, yule Mangu alikataa upuuzi wakamtoa Sasa ni balozi kule rwanda
Ana mashine ya Kusaga unga Shinyanga, ataenda kusagishaSirro akitoka tu nafasi ya IGP sijui atafanya nini maana hana kila laaana ya wapenda haki. Huyu ni muovu sana. Mimi na shaka uenda anayofanya sio akili yake Wapemba wameshamjeruhi huyu.