KabisaMbele ya safari hii chanjo itabaki kuwa hiari tu kama mtu trips zake ni ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano. Very soon kila mtu mwenye plans za kuvuka mipaka ya Nchi anaweza kulazimika kudungwa hiyo kitu.
Na kile kidubwana @igudude na sukuma gang... aione YEHODAYA
Yellow fever ni chanjo ya hiari. Ila ukitaka kwenda baadhi ya nchi mfano South Africa utalazimika kuchanja.Mbele ya safari hii chanjo itabaki kuwa hiari tu kama mtu trips zake ni ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano. Very soon kila mtu mwenye plans za kuvuka mipaka ya Nchi anaweza kulazimika kudungwa hiyo kitu.
Yes. Supported. This is a sober advice. Congrats Dr. Mwinyi."Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli"
Ndugu @DrHmwinyi
Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa.
Mahonda, Kaskazini Unguja.
Mei 29, 2021.
View attachment 1802084
"I see"; says the blind man. "Mzee Punch never dies"; he concludes.Taratibu mheshimiwa, unachafua legasi. Tuligundua watu waliochanjwa nje walituletea korona ya ajabu ajabu🤸🐒