Rais Mwinyi: Tukatae uzushi kuwa Mtu akipata chanjo ya corona atakufa

Rais Mwinyi: Tukatae uzushi kuwa Mtu akipata chanjo ya corona atakufa

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
"Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli"

Ndugu @DrHmwinyi
Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa.

Mahonda, Kaskazini Unguja.
Mei 29, 2021.

56017CB0-A0AE-4482-BBB2-B4417697187D.jpeg
 
Mbele ya safari hii chanjo itabaki kuwa hiari tu kama mtu trips zake ni ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano. Very soon kila mtu mwenye plans za kuvuka mipaka ya Nchi anaweza kulazimika kudungwa hiyo kitu.
 
Bado wanaamini hakuna corona na ndio maana hatuoni kuchukua tahadhari zozote ila wapo busy na kuleta chanjo.
 
Kuna watu wamepoteza maisha baada ya kuchanjwa huo ndio ukweli.
Mengine tunawaachia.
 
"...Chanjo ni hiari sio lazima..." - Dkt Mwinyi
 
Mbele ya safari hii chanjo itabaki kuwa hiari tu kama mtu trips zake ni ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano. Very soon kila mtu mwenye plans za kuvuka mipaka ya Nchi anaweza kulazimika kudungwa hiyo kitu.
Yellow fever ni chanjo ya hiari. Ila ukitaka kwenda baadhi ya nchi mfano South Africa utalazimika kuchanja.

Vitu vingine huwa tunapozeana muda kwa ubishi tu usio na sababu.
 
"Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli"

Ndugu @DrHmwinyi
Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa.

Mahonda, Kaskazini Unguja.
Mei 29, 2021.

View attachment 1802084
Yes. Supported. This is a sober advice. Congrats Dr. Mwinyi.
 
Hakuna MTU aluyesema MTU akipata chanjo ya Corona.basi utakufa.
 
Inapendeza kuona watu wanatumia akili zao sasa kujadili mambo
 
Back
Top Bottom