Hapana, ikiwa Rais na Makamu hawapo nchi itaongozwa na spika wa bunge na kama HAYUPO nchi itaongozwa na judge mkuu.,... Waziri mkuu hajatajwa kwenye katiba...hiyo nilisomaga zamani kwenye SoMo la siasa darasa la nne ama la tatuMbona Katiba ipo wazi!
Rais
Makamu wa Rais
Waziri Mkuu
Naibu Waziri Mkuu (Kwasasa)
Spika wa Bunge
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Hutamuweza aisee!Atakua mzito kwa sababu mawe mengine mengi makubwa ameweka mfukoni.😃😃 Hapa tax bega inatosha
😃😃😃 Huyo tupate mashine ya kunyanyulia kontenaHutamuweza aisee!Atakua mzito kwa sababu mawe mengine mengi makubwa ameweka mfukoni.
Unapokuwa unahitaji kueleweshwa kitu ni vyema ukawa unauliza ili ujuzwe. Hapa sasa unamwongelea nani?Kwa hio unataka kusemaje hakagui gwaride na kupigiwa salute za heshima na mizinga?
Mwaka gani huo.Hapana, ikiwa Rais na Makamu hawapo nchi itaongozwa na spika wa bunge na kama HAYUPO nchi itaongozwa na judge mkuu.,... Waziri mkuu hajatajwa kwenye katiba...hiyo nilisomaga zamani kwenye SoMo la siasa darasa la nne ama la tatu
Sasa shida IPO Wapi hapo au nini haujanielewa?Unapokuwa unahitaji kueleweshwa kitu ni vyema ukawa unauliza ili ujuzwe. Hapa sasa unamwongelea nani?
Rais ni kiongozi wa Nchi (Mkuu wa Serikali/Amiri jeshi mkuu)
Mkuu wa Majeshi ni kiongozi wa Majeshi.
Kasome functions of President as head of State, head of Government and Commander in chief of Armed Forces
Soma post yako No. 36!Sasa shida IPO Wapi hapo au nini haujanielewa?
Jaji Mkuu kufanya nini Babu We wa Wapi mara mwanasheria mkuu mara Jaji Mkuu wa Wapi? Umeambiwa issue za mahakama hizi executive na judicial Wapi na Wapi au Check n Balance hujui inafanyaje kazi? Kasome tena upyaHapana, ikiwa Rais na Makamu hawapo nchi itaongozwa na spika wa bunge na kama HAYUPO nchi itaongozwa na judge mkuu.,... Waziri mkuu hajatajwa kwenye katiba...hiyo nilisomaga zamani kwenye SoMo la siasa darasa la nne ama la tatu
We unagombea Cheo cha nani hapo ulipo?Huu uzi unachekesha ingawa ni wa kukumbushana itifaki.Tunagombea vyeo vya watu bila kujua.😂😂😂🙏
Uko sawa ni Jaji mkuu.Hapana, ikiwa Rais na Makamu hawapo nchi itaongozwa na spika wa bunge na kama HAYUPO nchi itaongozwa na judge mkuu.,... Waziri mkuu hajatajwa kwenye katiba...hiyo nilisomaga zamani kwenye SoMo la siasa darasa la nne ama la tatu
Msome katiba1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?
3. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo, usijibu kama upo vilingeni.
Huna akiliWaziri Mkuu
Asipokuepo yeye pia Naibu wake asipokuepo na yeye anaebakia kusimamia ni Spika wa Bunge akiwa hayupo na yeye Naibu wake akiwa hayupo na yeye Mkuu wa Majeshi ndio anachukua nafasi km yeye hayupo pia anachukua anaemfuatia mwenye nyota 3 km na yeye hayupo anachukua anaemfuatia mwenye nyota 2 km na yeye hayupo anachukua anaemfuatia mwenye nyota 1
Uliza swali lingine
Nagombea kupata kiti cha Urais ndotoni.We unagombea Cheo cha nani hapo ulipo?
Dar was la tano au sio? Basi sawaMsome katiba
Tulifundishwa dar was la tano
Endelea kugombea na kule kwenye Vocha pia unagombeaNagombea kupata kiti cha Urais ndotoni.
Tutakumbukaje mambo ya miaka zaidi ya 40 iliyopita?Tulifundishwa dar was la tano
Shida hawa vijana wanachanganywa na Mamlaka ya umma. Mamlaka ya umma hata mtoto aliemaliza Form IV akijiingiza kwenye Siasa anaweza kuteuliwa kushika uongozi wa kichama au kitaifa kama vile mkuu wa wilaya na kuendelea ni tofauti na vyeo vya majeshi.Mkuu wa majeshi muondoe hapo,weka rais wa zanzibar,mkuu wa najeshi akikalia kike kiti hatoki