Rais na Mwenyekiti wangu, usisubiri mpaka uharibifu wa Spika Ndugai ukuchafue

Wakikosoa akina mbowe mnawaweka ndani.Haya Gombaneni wenyewe huko.[emoji38]
 
Acha uongo!
JPM alikuta deni la taifa ni 43t miaka yake mi5 kaacha deni 66t sasa Samia na miezi yake8 deni ni 70 vipi akimaliza miaka minne ?bila shaka itakuwa ni 100t ,hapa ndipo nchi itapigwa mnada na umuhimu wa katiba mpya unazidi kuongezeka
 
Miradi yote ya nchi hii niyaupigaji wala usifikiri Kama mwananchi unapendwa sana, hiyo stiglars gorge au standard gauge ingekuwa imekamilika kila siku kughaili tarehe, tumeshapigwa sana
Mi sina shida tukipigwa ila vitu vya kuonekana vionekane basi, sio mnapigwa umeme wa shida, maji ya shida!
 
JPM alikuta deni la taifa ni 43t miaka yake mi5 kaacha deni 66t sasa Samia na miezi yake8 deni ni 70 vipi akimaliza miaka minne ?bila shaka itakuwa ni 100t ,hapa ndipo nchi itapigwa mnada na umuhimu wa katiba mpya unazidi kuongezeka
Umesema kwa miezi 8 ameshaongeza deni la tr 10, kitu ambacho si kweli.
 
Mkuu ni kweli awamu ya 5 walikuwa wanatuambia lakini walikuwa hawafanyi walichokuwa wanatuambia. Sasa hivi awamu ya 6 maneno na matendo ni sawa sawa kabisa. Hakuna mtu aliyekosa kama Magu, kwa miaka 5 kakopa more than 17trl!!!! Fanya ratio uone kila mwaka alikopa Tsh. Ngapi!!! Huyu mama yetu kakopa 1.3tln imekuwa nogwa kiasi hiki?
Wendawazimu waendelee kulala kuzimu.
Waliokuwa wakitupeleka vizuri ni awamu ya 5. Ni ngumu kumeza ukweli lakini walikuwa wakituambia ukweli. Uchumi wa kujidanganya kwa mikopo ya hovyo na kutumia hovyo ni kujidanganya ya hali ya juu sana.
 
Huyu ananuka!!! Na ni Malaya wa siasa full stop! [emoji2957]
Mh. Ndugai pia anao Uhuru wa maoni na ni vemauhuru huo uheshimiwe.
Tuzoee na tukubaliutamaduni mzuri wa kidemokradia wa kutofautiana hoja bila kugombana.

Hili litawezekana tu kama tukipata Katiba Mpya!

Tuungane kuidai!!
 
Unajua msichanganye mkopo na deni. 17T zinazozungumzwa ni deni. Maanake mkopo umeiva na riba zake na bado kuna additional ya riba za mikopo ya miaka mingine before 2015. Nimeona nikupe hiyo elimu kwanza.
Na hapa hatuna sababu ya kushindanisha hawa viongozi wetu wawili.
Hapa tuitendee haki nchi yetu na vizazi vijavyo. Tuache kuwa pure presidential keepers.
 
Hata Mzee Samwel Six aliikosoa sana serikali ya Kikwete. Ndugai anatumia haki yake ya kutoa maoni kama ambavyo kina Bulembo wanatumia.kwa
Hivi samwel sita yuko wapi jamani!! Mana simsikii kabisa. Au yuko analima bangi huko kwao tabora Mana tabora kwa kulima bangi na tumbaku hawajambo. Tujuzane jamani alipo samwel sitta
 
Huyo Ndugai afukuzwe uanachama, hajui anachofanya. Yeye ni tatizo.
 
Hivi samwel sita yuko wapi jamani!! Mana simsikii kabisa. Au yuko analima bangi huko kwao tabora Mana tabora kwa kulima bangi na tumbaku hawajambo. Tujuzane jamani alipo samwel sitta
Duh! Huna habari kwamba alisha RIP?
 
Hii elimu wala haina maana kwangu. Hoja ya kuwashindanisha imetoka kwa huyu rafiki yako pamoja na wewe. Mlitudanganya kwamba wakati wa awamu yenu hamkukopa, ushahidi upo wa massive loans mlizochukua. Sasa kilinge kinawaka moto baada ya kukosa ulaji mnapiga kelele. Wacheni mama afanye kazi kama ambavyo wakati wenu mliachwa mkafanya kazi mpaka mkakimaliza wenyewe.
 
Waliokuwa wakitupeleka vizuri ni awamu ya 5. Ni ngumu kumeza ukweli lakini walikuwa wakituambia ukweli. Uchumi wa kujidanganya kwa mikopo ya hovyo na kutumia hovyo ni kujidanganya ya hali ya juu sana.
Walikuwa wanatuambia ukweli upi? Wakati wao ndio wameongeza deni la nchi hii kwa kiasi kikubwa sana huku wakitudanganya kuwa tunajenga miradi kwa fedha zetu wenyewe. Rudi ukasome tena mwenendo wa deni la Taifa kwa awamu zote.
 
Rais na Mwenyekiti wangu, nguvu na uwezo wa kumtoa Spika unao, fanya sasa kabla uharibifu wa Spika haujaota mizizi itakayokuwa migumu kuing'oa
Supika hawezi kuondolewa kizembe hivyo kwa kupishana kauli na mwenyekiti wa chama. Huo ndio uhuru wenyewe wa kutoa maoni

Jifunzeni kukubali mitazamo ya watu wengine
 
Haya yote yalisainiwa kipindi cha Jiwe, sasa hivi ni utekelezaji tu.
 
Mikopo ikifanyia hizi shughuli nakuwa sina tatizo nayo! Ila kuniambia mikopo inajenga madarasa halafu tozo nazo pia zinajenga madarasa ni wizi wa mchana kweupe!

Hamnaga kitu kama hicho...Ufisadi utakuwa wa kutisha sana
Unaujua ukubwa wa nchi hii na mahitaji yake katika Elimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…