Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spika ni mkubwa mwenzie, hana la kumfanya.Imefikia hatua Spika anamkosoa kila lililo jema na kukubali yasiyofaa. Ukosoaji wa namna hii si afya kwa ustawi wa nchi yetu.
Tabia hii ameanza kuonesha katika hiki cha awamu ya sita. Mbona Rais Magufuli alikuwa anafanya yanayofanywa na awamu hii lakini hakuwahi kukosoa?
Ukosoaji wa aina ya Ndugai ni moja wa ufa hatari sana katika ukuaji wa uchumi na maendeleo ya nchi. Ukiachana na nchi chache sana duniani ambazo zina uchumi imara wa kujiendesha zenyewe, nchi nyingi zinategemea mikopo ili kukamilisha ujenzi.
Spika licha ya kujua umuhimu wa mikopo yenye riba nafuu na masharti rahisi lakini bado anaona mikopo hiyo haifai. Bila kutoa njia mbadala wa kuongeza mapato ya ndani anapinga mikopo nafuu. Je, maendeleo yatakujaje?
Yawezekana Spika kaona siku zake za kukalia kiti cha uspika zimeisha au ana nia na lengo tofauti la kumkwamisha Rais na Mwenyekiti wake.
Rais na Mwenyekiti wangu, nguvu na uwezo wa kumtoa Spika unao, fanya sasa kabla uharibifu wa Spika haujaota mizizi itakayokuwa migumu kuing'oa
Huwa nafurahi nikiona AVATAR yako !!2025 tutashuhudia mengi. Naona Samia nae kaonyesha misuli yake. Kasema ataendelea kukopa. Ila sasa kama wanakopa hizi tozo zetu zinafanya kazi gani ?Au ndo zinawalipa allowances za safari zao.
Kimsingi 2025 Samia anakibarua kizito kuliko wakati wowote.2025 tutashuhudia mengi. Naona Samia nae kaonyesha misuli yake. Kasema ataendelea kukopa. Ila sasa kama wanakopa hizi tozo zetu zinafanya kazi gani ?Au ndo zinawalipa allowances za safari zao.
Maneno haya haya yalimpa kiburi Asad na kuamini kuwa ana uwezo sawa na aliyemteua. Spika naye ni mteule tu, ana kinga ya kutokuondolewa. Tutaanza kushughulikia ubunge wakeKimsingi 2025 Samia anakibarua kizito kuliko wakati wowote.
Ndugai ana nguvu ukijumlisha na sukuma gang wakiunganisha nguvu Samia hapenyi.
Mnaweza kufanya hivyoManeno haya haya yalimpa kiburi Asad na kuamini kuwa ana uwezo sawa na aliyemteua. Spika naye ni mteule tu, ana kinga ya kutokuondolewa. Tutaanza kushughulikia ubunge wake
Kwani anaweza kumfanya nini?Imefikia hatua Spika anamkosoa kila lililo jema na kukubali yasiyofaa. Ukosoaji wa namna hii si afya kwa ustawi wa nchi yetu.
Tabia hii ameanza kuonesha katika hiki cha awamu ya sita. Mbona Rais Magufuli alikuwa anafanya yanayofanywa na awamu hii lakini hakuwahi kukosoa?
Ukosoaji wa aina ya Ndugai ni moja wa ufa hatari sana katika ukuaji wa uchumi na maendeleo ya nchi. Ukiachana na nchi chache sana duniani ambazo zina uchumi imara wa kujiendesha zenyewe, nchi nyingi zinategemea mikopo ili kukamilisha ujenzi.
Spika licha ya kujua umuhimu wa mikopo yenye riba nafuu na masharti rahisi lakini bado anaona mikopo hiyo haifai. Bila kutoa njia mbadala wa kuongeza mapato ya ndani anapinga mikopo nafuu. Je, maendeleo yatakujaje?
Yawezekana Spika kaona siku zake za kukalia kiti cha uspika zimeisha au ana nia na lengo tofauti la kumkwamisha Rais na Mwenyekiti wake.
Rais na Mwenyekiti wangu, nguvu na uwezo wa kumtoa Spika unao, fanya sasa kabla uharibifu wa Spika haujaota mizizi itakayokuwa migumu kuing'oa
AshajuaImefikia hatua Spika anamkosoa kila lililo jema na kukubali yasiyofaa. Ukosoaji wa namna hii si afya kwa ustawi wa nchi yetu.
Tabia hii ameanza kuonesha katika hiki cha awamu ya sita. Mbona Rais Magufuli alikuwa anafanya yanayofanywa na awamu hii lakini hakuwahi kukosoa?
Ukosoaji wa aina ya Ndugai ni moja wa ufa hatari sana katika ukuaji wa uchumi na maendeleo ya nchi. Ukiachana na nchi chache sana duniani ambazo zina uchumi imara wa kujiendesha zenyewe, nchi nyingi zinategemea mikopo ili kukamilisha ujenzi.
Spika licha ya kujua umuhimu wa mikopo yenye riba nafuu na masharti rahisi lakini bado anaona mikopo hiyo haifai. Bila kutoa njia mbadala wa kuongeza mapato ya ndani anapinga mikopo nafuu. Je, maendeleo yatakujaje?
Yawezekana Spika kaona siku zake za kukalia kiti cha uspika zimeisha au ana nia na lengo tofauti la kumkwamisha Rais na Mwenyekiti wake.
Rais na Mwenyekiti wangu, nguvu na uwezo wa kumtoa Spika unao, fanya sasa kabla uharibifu wa Spika haujaota mizizi itakayokuwa migumu kuing'oa
Spika si lazima awe mbungeSoma katiba uone spika anatokaje, mchakato wa kumtoa madarakani Rais ndio mgumu na pengine ni impossible
Nyie akina Nani ilihali sisi tuliomchagua kua mbunge(wananchi ) tumeridhia kauli take!!?Maneno haya haya yalimpa kiburi Asad na kuamini kuwa ana uwezo sawa na aliyemteua. Spika naye ni mteule tu, ana kinga ya kutokuondolewa. Tutaanza kushughulikia ubunge wake
Dawa ya deni kulipa tu,limeiva halijaiva,litaiva kulipwa litalipwa tu.Unajua msichanganye mkopo na deni. 17T zinazozungumzwa ni deni. Maanake mkopo umeiva na riba zake na bado kuna additional ya riba za mikopo ya miaka mingine before 2015. Nimeona nikupe hiyo elimu kwanza.
Na hapa hatuna sababu ya kushindanisha hawa viongozi wetu wawili.
Hapa tuitendee haki nchi yetu na vizazi vijavyo. Tuache kuwa pure presidential keepers.
Twende sawa hapa, wanasema Magufuli alikopa trillion 30 ktk kipindi chake cha miaka 6.Magufuli alikopa 50% ya Deni ndani ya miaka 5
Mpumbavu fulani wewe...Unashida mahali yaani akikosolewa kidogo unakimbilia mambo ya maumbile so what? Kama hakiwezi why asing’atuke awaache wanaume waashike nchi
Spika kasema 'bajeti yetu ni trillion 30. Trillion 10 tunaripia riba ya mkopo hii ni hatari sana.Dawa ya deni kulipa tu,limeiva halijaiva,litaiva kulipwa litalipwa tu.
Spika katoa wazo zuri tu,kwamba tuko pabaya kwa deni tulilonalo tuachane na vimikopo vidogodogo tukomae kulipa deni tulilonalo na kutumia mapato ya ndani kwa maswala yetu humu ndani.
Mi naona kasema sawa kabisa ingawa si shabiki wake wala chama chochote cha siasa.
Mkuu mama keshakopa zaidi ya trillion 7.7 weka sawa hapoMkuu ni kweli awamu ya 5 walikuwa wanatuambia lakini walikuwa hawafanyi walichokuwa wanatuambia. Sasa hivi awamu ya 6 maneno na matendo ni sawa sawa kabisa. Hakuna mtu aliyekosa kama Magu, kwa miaka 5 kakopa more than 17trl!!!! Fanya ratio uone kila mwaka alikopa Tsh. Ngapi!!! Huyu mama yetu kakopa 1.3tln imekuwa nogwa kiasi hiki?
Wendawazimu waendelee kulala kuzimu.
Cariha, naomba Mungu akupe macho ya kuona😃😃😃😃😃😃Dharau tu naona enzi za jiwe kila mtu aliufyata kuanzia kina Mbowe walikuwa kimya over sudden wote wameota mapembe, ndugai yeye alikuwa anasifia tu kila kitu Hadi vya kijinga