Rais na Mwenyekiti wangu, usisubiri mpaka uharibifu wa Spika Ndugai ukuchafue

Kurukaruka kwa maharage ndyo huko sasa zandanindani kabisaa Mambo yamekwivaaa[emoji3]
 
Spika ni mkubwa mwenzie, hana la kumfanya.
Isitoshe Ndugai katema point sana kuliko wakati wowote, mnyonge mnyongeni haki yake mwachieni.
 
2025 tutashuhudia mengi. Naona Samia nae kaonyesha misuli yake. Kasema ataendelea kukopa. Ila sasa kama wanakopa hizi tozo zetu zinafanya kazi gani ?Au ndo zinawalipa allowances za safari zao.
Huwa nafurahi nikiona AVATAR yako !!
 
2025 tutashuhudia mengi. Naona Samia nae kaonyesha misuli yake. Kasema ataendelea kukopa. Ila sasa kama wanakopa hizi tozo zetu zinafanya kazi gani ?Au ndo zinawalipa allowances za safari zao.
Kimsingi 2025 Samia anakibarua kizito kuliko wakati wowote.
Ndugai ana nguvu ukijumlisha na sukuma gang wakiunganisha nguvu Samia hapenyi.
 
Kimsingi 2025 Samia anakibarua kizito kuliko wakati wowote.
Ndugai ana nguvu ukijumlisha na sukuma gang wakiunganisha nguvu Samia hapenyi.
Maneno haya haya yalimpa kiburi Asad na kuamini kuwa ana uwezo sawa na aliyemteua. Spika naye ni mteule tu, ana kinga ya kutokuondolewa. Tutaanza kushughulikia ubunge wake
 
Maneno haya haya yalimpa kiburi Asad na kuamini kuwa ana uwezo sawa na aliyemteua. Spika naye ni mteule tu, ana kinga ya kutokuondolewa. Tutaanza kushughulikia ubunge wake
Mnaweza kufanya hivyo
 
Kwani anaweza kumfanya nini?
 
Ashajua

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Na zile hadithi za pesa za ndani sizisikii tena.....
 
Sasa huyo ni spika unadhani wakuteuliwa huyo? Mawaziri wenyewe wapo chini ya spika. Tulia tu, mtu atumie nguvu zake na hakuna wa kumhoji.
 
Maneno haya haya yalimpa kiburi Asad na kuamini kuwa ana uwezo sawa na aliyemteua. Spika naye ni mteule tu, ana kinga ya kutokuondolewa. Tutaanza kushughulikia ubunge wake
Nyie akina Nani ilihali sisi tuliomchagua kua mbunge(wananchi ) tumeridhia kauli take!!?
 
Dawa ya deni kulipa tu,limeiva halijaiva,litaiva kulipwa litalipwa tu.
Spika katoa wazo zuri tu,kwamba tuko pabaya kwa deni tulilonalo tuachane na vimikopo vidogodogo tukomae kulipa deni tulilonalo na kutumia mapato ya ndani kwa maswala yetu humu ndani.
Mi naona kasema sawa kabisa ingawa si shabiki wake wala chama chochote cha siasa.
 
Magufuli alikopa 50% ya Deni ndani ya miaka 5
Twende sawa hapa, wanasema Magufuli alikopa trillion 30 ktk kipindi chake cha miaka 6.
Mama ameshakopa trillion 7.7 ktk kipindi cha miezi 8. + Tozo na mfumuko wa bei. Kuna shida hapa!
 
Unashida mahali yaani akikosolewa kidogo unakimbilia mambo ya maumbile so what? Kama hakiwezi why asing’atuke awaache wanaume waashike nchi
Mpumbavu fulani wewe...
 
Spika kasema 'bajeti yetu ni trillion 30. Trillion 10 tunaripia riba ya mkopo hii ni hatari sana.
Yaan hatulipi mkopo bali tunalipa riba ya mkopo. Deni halitaisha kamwe!
Mwenye masikio na asikie
 
Hii ni vita kati ya timu wazalendo (#kataawahuni)na team wapigaji (tunaiponya nchi)
Timu wazalendo inaenda kuchukua ushindi mchana kweupe! Inaonekana imejipanga kwelkweli.
 
Mkuu mama keshakopa zaidi ya trillion 7.7 weka sawa hapo
 
Dharau tu naona enzi za jiwe kila mtu aliufyata kuanzia kina Mbowe walikuwa kimya over sudden wote wameota mapembe, ndugai yeye alikuwa anasifia tu kila kitu Hadi vya kijinga
Cariha, naomba Mungu akupe macho ya kuona😃😃😃😃😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…