Rais Nyerere na Rais Magufuli walikataa, Rais Samia usikubali Misaada ya kuingilia Sovereignty yetu!

Thread 'Bunge la Ulaya laitaka Tanzania KUSITISHA Matokeo ya UCHAGUZI' GE2025 - Bunge la Ulaya laitaka Tanzania KUSITISHA Matokeo ya UCHAGUZI

Huku sio ni kutuingilia mambo yetu ya ndani ?
P
Tangu 1964 hadi mwaka jana, Tanzania ilipokea zaidi ya USD Bil 21 za Marekani kama msaada, na ikapokea pia Pesa za misaada mabilioni ya Kroners kutoka nchi za Nordic, Mabilioni ya Pounds, Euro nk. Sasa wewe unasema Nyerere na Magufuli walikataa misaada? Hakuna nchi iliyopokea misaada mingi kama TZ kwa nchi za Africa na duniani katika nchi 10 imo. Tulishindwa tu kutumia misaada, mafisadi kama Samia na wengineo walitumia vibaya pesa zetu.
 
Nimesoma bandiko hili Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria
Tanzania ni sovereign state, haya ni mambo yetu ya ndani, wasituingilie!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…