thuwainize
Senior Member
- Jan 29, 2022
- 178
- 382
Zee limezeeka vibaya lile na lina roho mbaya sasa limeingiwa na mapepo ya tukose wote kama yale ya enzi ya issa bin Mariam yalivyomuingia yule Herode akawaua watoto wote akimsaka nabii Issa.Huyu Putin mpuuzi tu....na safari hii kayakanyaga....
Kila chenye mwanzo kina mwisho....
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Haaminiki huyu ukiona kiongozi ameng'ang'ania madaraka, tambua anaweza kufanya lolote lileAnawajambisha NATO
Ila wamarekani ndio waungwana na hawapendi vita?Putin ni kiongozi fala sana kuwah kutokea ,cha kwanza ni kiongozi ambaye anapenda vita na hajali maisha ya wananchi wake kiuchumi
Ndio, na kwenye vits hakuna kupangiana silaha, unatumia unayoona inafaa na itakupa matokeo sahihiLazima ategemee nuclear si yupo pekeyake dhidi ya wengi......
Mungu fundi...Hata kuishambulia ukraine mlisema ni mikwara tu na amefanya kweli, sidhani kama Russia itakubali kushindwa hii vita wakati ina silaha za maangamizi bora wakose wote, ndio kinachoenda kutokea, waangamizane kisha China iinuke kuwa super power, labda na sisi huku Afrika tutaweza kupiga hatua ya maendeleo kidogo
Sio kweli, vita ni kama mchezo tu, wengine wamezoea kuangalia zao movie sasa nikiona movie za bure live kwanini nisishangilie. Think well bro acha uogaUkiona anafurahia vita ujue maisha yake ni magumu sana
Mlisema masaa 24 hayaishi leo siku ya ngapi?? Mlidhani Ukraine ni Burundi? Putin ashaona anafeli anakimbilia nyuklia kanchi kadogo kama Ukraine kanamdindia siku 4 mnamsifu huyo putin hana lolote.Hata kuivamia Ukraine mliita mikwara,now Ukraine inachakaa.Soon itakuwa majivu.
Putin now hachek na mus*nge.
Kwamba yeye yuko mars au?? Au mnadhani nyuklia ni gobole?Usiongee kishabiki Putin hajashindwa vita ila alishaonya ya kuwa atakae isaidia Ukraine atajuta sasa huyu mtu atishii anamaanisha huyu wanachokosea ulaya ni kutangaza kuwa tumetoa silaha mara wanajeshi sasa Putin anakwenda kufanya unyama mkubwa mno.
Hata kuishambulia ukraine mlisema ni mikwara tu na amefanya kweli, sidhani kama Russia itakubali kushindwa hii vita wakati ina silaha za maangamizi bora wakose wote, ndio kinachoenda kutokea, waangamizane kisha China iinuke kuwa super power, labda na sisi huku Afrika tutaweza kupiga hatua ya maendeleo kidogo
Kwenye nafasi ya Ukrain weka USA...Ukrain hii vita ni kama proxy tuWewe una taarifa za jana!! Hebu jaribu kufuatilia live updates.. Ukraine baada ya kusikia masuala ya nuclear kakubali kukutana
Mkuu mimi nilikuwa namwangalia Mrusi kwa jicho la tatu: Urusi ambayo uchumi wake ni kuuza gesi, mafuta, n.k kwa NATO ili uishi, leo unawaletea za kuleta, huo ni utoto. Haya sasa, hawataki utumie dola zao, benki ndio umefungiwa, gesi yako hawanunui tena n.k. Ndani ya siku 3 unawaza kutumia silaha za nuclear kwa nchi ndogo kama hiyo, aibu kubwa. CHUTAMA TU MKUUAmeshapaniki baada ya nchi za magharibi kujua mbinu zake ,na tegemeo lake ndo hizo nyuklia,ambazo mataifa makubwa ya magharibi wanazo
Mkuu unataka kuniaminisha kuwa hata huyo atakae kwenda lufyatua hilo bomu la nuclear atakufa hapohapo pamoja wenzake nchi mzima? kama ni hivyo basi hao Warusi ni mazombe.Siku ikigeuka kuwa vita ya Nuclear hakuna kiumbe kitaexist duniani.
[emoji16][emoji16]Ngoja nianze sala ya toba....
Kwenye NiniNiko tayari
Atakamatwa Kama Kuku Timing Zinaendelea Na Atapitia Ya Sadam,GaddafiNdugu yangu Mungu ni mwema sana, hii taarifa maana yake Putin anashindwa vita Ukraine! Kweli ukijipandisha utashushwa. Na hiyo nuclear ni mkwara tu, mkwara mbuzi baada ya kuona mziki ni mnene.
Kweli putin majigambo tu, siku nne tu ushakimbilia polisi, eti Nuclear my foot!
Ndiyo Ulipo WeweMungu ibariki Ukraine
Eneo Gani Ambalo Limemfanya Atumie Nguvu KubwaInaonesha mrusi amechemsha alifikiri hii ni kazi ya siku mbili tu kumbe mambo ni magumu, sasa anatishia ma nuklia . nimesha mzarau sana huyu mrusi.
Oyoooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]nawaona NATO MIKOJO IKIWATOKA WAMECHOKONOA URUSI KWA MIAKA MINGI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ENYI WAUKRAINE MSINILILIE MIMI PUTIN BALI WALILIENI MAWAZIRI WENU WALIOPIGA KULA YA MIHEMUKO KUJIUNGA NA NATO
View attachment 2133233
Unacheza ww huujui uwanja wa vita kwa asili!!!Sio kweli, vita ni kama mchezo tu, wengine wamezoea kuangalia zao movie sasa nikiona movie za bure live kwanini nisishangilie. Think well bro acha uoga