Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

Mpumbavu sana Huyu mzee zama hizi sio za kuanzisha vita hovyo, na uzuri Nchi nyingi za Ulaya zimeshtuka kwamba huyu jamaa akiendelea hivi atataka kutawala Nchi zote so wameona bora wamdhibiti mapema.
 
Hiv Kwan n lazima atuambie Kama atatumia nuclear weapons au n lazima aseme hiv n vitisho vya kishamba Sana
 
Swift sio ishu kabisa kwa Dunia ya Sasa ya miamala ya online.

Nilikua natizama Russian today, Wanasema kuwafungia Swift itachochoea kukua kwa platform nyingine Kama Bitcoin n.k

Nisawa na Tigopesa watishie kuzuia huduma, wakati zipo Airtel money,mpesa,zpesa t-pesa n.k
 
Aisee wamevutwa ndani ya nchi mpaka vifaru vimeisha mafuta. Kinachofuata ni ambush tu , hizi mbinu ni zile zile za vita ya pili ya dunia.
Vifaru vya kisasa vinatumia nuclear power.
(Nucler powerd tanks)

Hivi unavyoviona kwny Hii Vita ya Ukraine Ni masalia ya vifaa vya ww2.

Mizigo mipya hata hawajaigusa[emoji4]
 
Mk
Vifaru vya kisasa vinatumia nuclear power.
(Nucler powerd tanks)

Hivi unavyoviona kwny Hii Vita ya Ukraine Ni masalia ya vifaa vya ww2.

Mizigo mipya hata hawajaigusa[emoji4]
Mkuu inaelekea wewe upo kwenye uwanja wa mapambano nini
 
Mlisema masaa 24 hayaishi leo siku ya ngapi?? Mlidhani Ukraine ni Burundi? Putin ashaona anafeli anakimbilia nyuklia kanchi kadogo kama Ukraine kanamdindia siku 4 mnamsifu huyo putin hana lolote.
NATO nendeni Basi mkatoe msaada, kumzimia Simu mwenzenu Zelensky sio vizur mkuu[emoji26]
 
Dalili za uoga, ameshindwa Vita ndogo anakimbilia nuclear. Nimemdharau Putin. Anaiangamiza Urusi kwa mikono yake.
Ameshindwa Vita kwa vioi??!! Watanzania a heni ushabiki usio na tija...hi ni siku ya nne ya Vita...Russia haijaingiza kwenye Vita hi main force yake...slichofanya ni kutanguliza special forums kwenye light vehicles...mavifsru yake Kama T 72 hajaingia kabisaa vitani...military strategists wa nchi za magharibi bado hazijagundua military strategies za Russia...hawajua Russia anakusudia kufanya Nini...kinachoendelea kwenye BBC, aljazeera, na kadhalika ni propaganda tu kwa sehdmu kubwa
 
Humjui, Putin. Subiri!
 
Mkuu una elimu hata ya msingi ya haya manuclear?
Wewe unataka kunifundisha nini kuhusu nuclear bomb [emoji15][emoji15]wewe ujui kitu chochote vita vy nuclear vikianza hata internet haita patikana hewani maana inaendana na kulipua satelite,na matumizi ya siraha zote za sumu. russia ina siraha za sumu za hatari kwahiyo msifikili ni mchezo hapo ukraine wakitumia siraha za sumu ni sekunde tu unaokota watu kama kumbikumbi achilia mbali siraha za kemikali na zakibiology
 
Maneno ya mtu mwoga hayo. Jeshi la urusi limepigwa vibaya sana huko Ukraine ambako walitegemea kuingia na kuteka nchi mara moja. Mpaka ssa takriban askaro wao 4000 wameshauwawa na wengine wengi kukamatwa mateka.


 
Mk

Mkuu inaelekea wewe upo kwenye uwanja wa mapambano nini
Aaah wapi,
Wenzetu wakishakukamata uko kwny kutumia dizeli kwenye vifaru.

Ayo mavifaru ya dizeli utayakuta uku ngerengere na hizi nchi zetu maskini ndo tunapewaga Kama misaada.

kwaSasa mpk aircraft carrier,submarine, na amphibians zote ziko nuclear powered.
 
Mkuu wazuie M-Pesa, Aire-Money, na TIGO Pesa zisifanye kazi hivi wananchi, makampuni watakuonaje wewe Kiongozi wao?
 
Dalili za uoga, ameshindwa Vita ndogo anakimbilia nuclear. Nimemdharau Putin. Anaiangamiza Urusi kwa mikono yake.
Kweli kabisa Ni sawa na mhanga anae vaa mabomu na kwenda kujilipua kwenye kadamnasi afe na wengi. Putin hakupaswa kuwepo duniani anaweza Leta madhila makubwa Sana kwa Wanadamu wengi.
 
Maneno ya mtu mwoga hayo. Jeshi la urusi limepigwa vibaya sana huko Ukraine ambako walitegemea kuingia na kuteka nchi mara moja. Mpaka ssa takriban askaro wao 4000 wameshauwawa na wengine wengi kukamatwa mateka.


Ukimaliza 4000 sio kwamba na wewe utatoka na 0 casualties kwenye vita lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…