Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

Ameshindwa Vita kwa vioi??!! Watanzania a heni ushabiki usio na tija...hi ni siku ya nne ya Vita...Russia haijaingiza kwenye Vita hi main force yake...slichofanya ni kutanguliza special forums kwenye light vehicles...mavifsru yake Kama T 72 hajaingia kabisaa vitani...military strategists wa nchi za magharibi bado hazijagundua military strategies za Russia...hawajua Russia anakusudia kufanya Nini...kinachoendelea kwenye BBC, aljazeera, na kadhalika ni propaganda tu kwa sehdmu kubwa
Wewe ulie tandale kwa mtogole ndo umegundua? [emoji3]hii dunia haiishi maajabu.
 
Mrusi pia hakutaka kuua raia wengi wasio na hatia sema mambo yalivyoenda akajionea upuuzi tu maana kama kweli anataka kuwatoa hao jamaa anaweza akatoa askari wake wote na kutandika kombora 1 tu akamaliza kazi...............ndo maana anatishia nuclear wajue kwamba ana option nyingine....na jamaa wamelainika wamekubali mazungumzo........ngumu sana kumpiga mtu anaejificha uraiani
Unajua sheria za vita mkuu?? apige kombora wote hahaha
 
Na Ukraine imekubali kushiriki katika kikao husika bila kuwekewa sharti lolote,na Urusi kakubali licha ya masharti aliyotoa awali.
Magharibi hawatambui

Kasababisha hasara kibao kwa makampuni ya nje na Ukraine

Putin pumbafu lazima aondoke alijifanya mjanja bila Putin kuachia madaraka hakuna mazungumzo

Mbwa Putin aachie madaraka haraka ndio labda kutakuwa na mazungumzo labda
 
Acha uongo na porojo, rais Putin alitoa offa ya mazungumzo toka siku ya ijumaa tena kwa masharti mawili ya Ukrainekutojiunga NATO na kutoweka silaha za NATO/US kwenye ardhi ya Ukraine. Na taarifa hiyo tumeipost hapa

Putin alipewa forum ya kimataifa kwa viongozi mbalimbali wa dunia kumtembelea na kmshawishi asianzishe vita lakini akaghairi. Ni nini kinachomlainisha leo kama siyo baada ya kukutana na kizingitu huko. Yeye alitaka aangushe serikali ya ukraine kusudi aweke ya kwake; amekwama ile mbaya. Na mambo bado kabisa kwani nchi zote za Ulaya zimeahidi kupeleka silaha za kutosha Ukraine.

Nchi moja haiwezi kutunga sera za nchi nyingine hata kidogo; inaweza kushawishi lakini haiwezi kulazimisha sera. Yeye ataipangiaje Ukraine jinsi ya kuendesha sera zake za mambo ya nje kama siyo ujinga wa kudhani bado ana USSR. ALikuwa na mwanya wa kushawishi, akashindwa. Ushwaishi wake yeye ni wa kutumia mabavu kuweka serikali kama ya kwake ambayo rais wake ni mungu mdogo na ni rais wa maisha. Ushahwishi huo uko belarus tu, nchi nyingine zote zilizokuwa chini ya USSR pale maeneo ya Baltic zilikataa ujinga huo; Ukraine nayo haiutaki, na Georgia nayo haiutaki.

Kudai anataka mazungumzo lakini sera za mambo ya nje za Ukraine lazima ziwe kama anavyotaka yeye ni ndoto ya kitoto tu.
 
Magenerali kibao wa Urusi wameacha kupigana vikwazo vimeathiri biashara zao Abroad na akaunti zao kufungwa hawana morali kabisa
Ndio maana jeshi la Ukraine linawakimbiza jeshi la Urusi kama midoli kukomboa miji

Sasa hivi Putin hana control na jeshi kabakia mpiga yowe isiyosikilizwa na jeshi
Ukishaona rais wa nchi awaomba raia wasiokuwa na uzoefu wowote wala mafunzo ya kivita washike bunduki (wakati nchi husika ina wanajeshi wenye mafunzo na uweledi wa vita) ujue tayari jeshi hilo la nchi limeshazidiwa nguvu tayari.

Muwe mnashirikisha ubongo kuchambua mtiririko wa mambo
 
Ana kiporo hakijaisha, Ameacha vita ameenda kuzungumza na Ukraine bado hajamalizana nao analeta mambo ya nuclear.
Hiki ni Kiswahili cha wapi? 'hajamalizapo', ndiyo nini? Jukwaa sasa lichangiwa hata na Warundi?
 
Magenerali kibao wa Urusi wameacha kupigana vikwazo vimeathiri biashara zao Abroad na akaunti zao kufungwa hawana morali kabisa
Ndio maana jeshi la Ukraine linawakimbiza jeshi la Urusi kama midoli kukomboa miji

Sasa hivi Putin hana control na jeshi kabakia mpiga yowe isiyosikilizwa na jeshi
Mkuu hawajambo pentagon hapo.
 
Na Ukraine imekubali kushiriki katika kikao husika bila kuwekewa sharti lolote,na Urusi kakubali licha ya masharti aliyotoa awali.
Hivi Mkuu upo dunia ya wapi wewe? Maana waonekana hujui hata habari zinazotrend ulimwenguni.

Rais wa Ukraine alikubali masharti ya Urusi ikiwemo la kuifanya Ukraine kutojiunga na NATO, wakasema wao Ukraine wanataka tu amani (link ya habari hiyo toka chanzo cha habari cha Israel ipo hapo chini).

Halafu wewe baada ya kushiba chapati za mayai kwa maharage ya kukata ya nazi na maziwa, waleta stori kuwa Ukraine kakataa masharti. Unajua vita wewe? Vita vipiganwe kwenye ardhi ya nchi yako? Tena na nchi ambayo ni super powe?

 
Putin alipewa forum ya kimataifa kwa viongozi mbalimbali wa dunia kumtembelea na kmshawishi asianzishe vita lakini akaghairi. Ni nini kinachomlainisha leo kama siyo baada ya kukutana na kizingitu huko.
Putin alitoa Offer ya mazungumzo toka ijumaa tena kwa masharti. Na Ukraine ikakubali masharti hayo. Angekuwa na uwezo angekubali masharti hayo? Mbona kabla ya kuchapwa alikuwa akishupaza shingo kuwa watajiunga NATO lakini baada ya kuchapwa kakubali kutojiunga?

 
Putin hana control ya jeshi tena
Hana control kabisa
Magenerali wa Jeshi Russia hawataki vita
Amri anazotoa Haziwi respected na magenerali vita Russia wala hawana mpango wa kumsikiliza

Putin the Hague inamsubiri pumbavu kabisa
 
Putin hana control ya jeshi tena
Hana control kabisa
Magenerali wa Jeshi Russia hawataki vita
Amri anazotoa Haziwi respected na magenerali vita Russia wala hawana mpango wa kumsikiliza

Putin the Hague inamsubiri pumbavu kabisa

IMG_4851.jpg
 
Putin ni kiongozi fala sana kuwah kutokea ,cha kwanza ni kiongozi ambaye anapenda vita na hajali maisha ya wananchi wake kiuchumi
Ndugu umeongea kitu sahihi sana. Putin is pure devil ila haya mambo yanaenda kumkomesha vibaya sana EU wamemfuta katika matumizi pesa yao na USA. Alijidai mjanja sasa anawatesa wananchi wake. Biden Administration wanafunga na kutaifisha akaunta za Warussia matajiri. Wanampiga kisayansi.
 
Back
Top Bottom