Aliemshauri hii vita kampeleka vibaya, kwanza hakufikiri angepata upinzani mgumu namna hii, na naona mwisho wake u karibu, kila kukicha anakutana na hali ngumu, financial institutions zake ziko isolated, 4 major banks zimekua disconnected from swift, central bank ya russia haiwez tena ku deploy reserve, masoko yoote ya hisa makampun yoote yamefutwa, Nord stream 2 ishasahaulika, leo ndege zake zoote zimepigwa ban europe space, nchi kibao kwa sasa zinapeleka misaads ya kijeshi ukraine, hata ile speach yake ya atakaeingilia atakiona haina mashiko watu wametoka hadharani wakatoa silaha, uk leo imeenda mbali zaid ikatoa mpaka wanajeshi, sasa anasema eti nuke ikae tayari kuzuia sasa sio kupiga tena ni kuzuia