profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
yaani wewe uko tz unakula ugali,umeshahukumu kuwa russia kashindwa vita?utani mwingine mbaya sana..Ndugu yangu Mungu ni mwema sana, hii taarifa maana yake Putin anashindwa vita Ukraine! Kweli ukijipandisha utashushwa. Na hiyo nuclear ni mkwara tu, mkwara mbuzi baada ya kuona mziki ni mnene.
Kweli putin majigambo tu, siku nne tu ushakimbilia polisi, eti Nuclear my foot!
Mkuu wewe ni punguani wa mwisho kabisa🤣🤣🤣 ENYI WAUKRAINE MSINILILIE MIMI PUTIN BALI WALILIENI MAWAZIRI WENU WALIOPIGA KULA YA MIHEMUKO KUJIUNGA NA NATO
View attachment 2133233
Mimi niliwahi kuwa askari, kwa hiyo ninaijua vita kiasi cha kutosha. Ni kweli, kila unapoua adui vile vile kuna upande wako unauwawa. tatizo kwenye vita hii ni kuwa jeshi la Urusi ndilo limevamia likiwa na formation yake inayojulikana, na sasa hivi linapigana na jeshi ambalo formation yake haijulikani. Kwa hiyo ni rahisi sana kuwalenga askari wa urusi kuliko kuwalenga skari wa Ukraine. Ndiyo maana sasa hivi majeshi ya urusi kama kawaida yao wao wanalipua kila wanachoweza. Muda mfupi uliopita Putin anakubali usuluhishi ambapo siku chache zilzopita alikuwa ajifanya mbabe kama siyo kuelemewa na aibu.Ukimaliza 4000 sio kwamba na wewe utatoka na 0 casualties kwenye vita lazima
Maneno ya mtu mwoga hayo. Jeshi la urusi limepigwa vibaya sana huko Ukraine ambako walitegemea kuingia na kuteka nchi mara moja. Mpaka ssa takriban askaro wao 4000 wameshauwawa na wengine wengi kukamatwa mateka.
eti putin kashindwa vita,,,Mkuu,,, kwani wamarekani weusi wa tandale wanasemaje??
Mrusi pia hakutaka kuua raia wengi wasio na hatia sema mambo yalivyoenda akajionea upuuzi tu maana kama kweli anataka kuwatoa hao jamaa anaweza akatoa askari wake wote na kutandika kombora 1 tu akamaliza kazi...............ndo maana anatishia nuclear wajue kwamba ana option nyingine....na jamaa wamelainika wamekubali mazungumzo........ngumu sana kumpiga mtu anaejificha uraianiMimi niliwahi kuwa askari, kwa hiyo ninaijua vita kiasi cha kutosha. Ni kweli, kila unapoua adui vile vile kuna upande wako unauwawa. tatizo kwenye vita hii ni kuwa jeshi la Urusi ndilo limevamia likiwa na formation yake inayojulikana, na sasa hivi linapigana na jeshi ambalo formation yake haijulikani. Kwa hiyo ni rahisi sana kuwalenga askari wa urusi kuliko kuwalenga skari wa Ukraine. Ndiyo maana sasa hivi majeshi ya urusi kama kawaida yao wao wanalipua kila wanachoweza. Muda mfupi uliopita Putin anakubali usuluhishi ambapo siku chache zilzopita alikuwa ajifanya mbabe kama siyo kuelemewa na aibu.
Ukali wa jeshi haupimwi kwa wingi wa silaha hata siku moja. yeye baada ya kulimbikza silahal nyingi aliamini kuwa Ukrainbe ni keki tu kwake. Anataka kujenga USSR tena
Inajulikana upande upi ambao ndo unaogopa kupigwa kwao.....mrusi kapigika sana kwake haoni jambo la ajabu....yule boya mmoja japan aligusa tu kambi yake akapeleka nuclear ili asiguswe tena nyumbaniMkuu kwa mantiki hiyo, kama ulivyoelezea inamaana hao raia wa Urusi haitawazulu hiyo nuclear na hatimaye nao kuokotwa kama kumbikumbi? Ebu fafanua ili tuijue elimu yako.
Mikwala mbuzi tuu hiyoo, mahesabu yake ya kuiteka Kyiv in 72 hrs na ku install kibaraka wake yamebuma big time... Imagine vita baina ya South Africa na say Zimbabwe au Zambia ndiyo ichukue four days na bado hamjaweza kuwafanya maadui zenu ku surrender [emoji12][emoji12]Mungu aepushie mbali
Huyu Putin ana wazimu.Anafikiri yeye ni shujaa wa ulayaTunahitaji viongozi bora kama hawa. Mashoga wakasome. Viva Putin viva Kim Jong UnView attachment 2133325View attachment 2133326View attachment 2133327
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Nimecheka sana jamaa anasimulia kwa ujasiri kabisa utafikiri ofisa wa jeshi pale Kremlin.Nani kakudanganya?
Amekataa.iwe sehemu nyingine sio Berarusi.
Mungu hawezi ruhusu hii sayari ingozwe na dikteta china ,marekani ilishabarikiwa kuongoza hii sayari kupitia mgongo wa Israel,kama vitabu vitakatifu vinaposema atakaeilaani Israel atalaaniwa na ataibariki ISRAEL atabarikiwa.uhusiano wa Israel na marekani ni mkubwa kuliko mwingine wowoteMungu fundi...
Mungu aliwatuma wahalalishe ushoga na kuonea nchi nyingineMungu hawezi ruhusu hii sayari ingozwe na dikteta china ,marekani ilishabarikiwa kuongoza hii sayari kupitia mgongo wa Israel,kama vitabu vitakatifu vinaposema atakaeilaani Israel atalaaniwa na ataibariki ISRAEL atabarikiwa.uhusiano wa Israel na marekani ni mkubwa kuliko mwingine wowote
Magenerali kibao wa Urusi wameacha kupigana vikwazo vimeathiri biashara zao Abroad na akaunti zao kufungwa hawana morali kabisaTaarifa ya Pentagon ya jana ilisema Putin na Urusi yake wamepanic baada ya kupata matokeo ambayo hawakutarajia kwenye uvamizi wake kwa Ukraine. Taarifa ya Putin ya leo imethibitisha kupaniki kwake.
Acha uongo na porojo, rais Putin alitoa offa ya mazungumzo toka siku ya ijumaa tena kwa masharti mawili ya Ukraine kutojiunga NATO na kutoweka silaha za NATO/US kwenye ardhi ya Ukraine (ambavyo Ukrainealishavikubali). Na taarifa hiyo tumeipost hapa jfMuda mfupi uliopita Putin anakubali usuluhishi ambapo siku chache zilzopita alikuwa ajifanya mbabe kama siyo kuelemewa na aibu.
Magenerali kibao wa Urusi wameacha kupigana vikwazo vimeathiri biashara zao Abroad na akaunti zao kufungwa hawana morali kabisaAcha uongo na porojo, rais Putin alitoa offa ya mazungumzo toka siku ya ijumaa tena kwa masharti mawili ya Ukrainekutojiunga NATO na kutoweka silaha za NATO/US kwenye ardhi ya Ukraine. Na taarifa hiyo tumeipost hapa
Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'
Ukumbuke Ukraine ni mbuzi wa kafara tu....target hapo ni uliowataja. Target ni maduhu ila unaanza na mayalla ambaye ni rafiki yake maduhu ili maduhu akireact unampelekea moto. Ni mbinu za kivita ngosha....hakikisha huishiwi bando. target ni Ukraine mwenyewe sio Nato. think beyond of the lines.www.jamiiforums.com
HajakubaliUkrein kabubali Mazungumzo
NATO wana akili sio kama huyo mjinga wanajua ni chizi so wameamua kuwa watu wazima wamechutama maana putin hashindwi kurusha nyuklia kweli na Nato hawatakubali watarusha tu then what dunia itakua imeisha.NATO nendeni Basi mkatoe msaada, kumzimia Simu mwenzenu Zelensky sio vizur mkuu[emoji26]
Na Ukraine imekubali kushiriki katika kikao husika bila kuwekewa sharti lolote,na Urusi kakubali licha ya masharti aliyotoa awali.Acha uongo na porojo, rais Putin alitoa offa ya mazungumzo toka siku ya ijumaa tena kwa masharti mawili ya Ukrainekutojiunga NATO na kutoweka silaha za NATO/US kwenye ardhi ya Ukraine. Na taarifa hiyo tumeipost hapa
Putin asema sasa yupo tayari kwa mazungumzo ya amani na Serikali ya Ukraine 'kama wanataka mazungumzo'
Ukumbuke Ukraine ni mbuzi wa kafara tu....target hapo ni uliowataja. Target ni maduhu ila unaanza na mayalla ambaye ni rafiki yake maduhu ili maduhu akireact unampelekea moto. Ni mbinu za kivita ngosha....hakikisha huishiwi bando. target ni Ukraine mwenyewe sio Nato. think beyond of the lines.www.jamiiforums.com