Mimi niliwahi kuwa askari, kwa hiyo ninaijua vita kiasi cha kutosha. Ni kweli, kila unapoua adui vile vile kuna upande wako unauwawa. tatizo kwenye vita hii ni kuwa jeshi la Urusi ndilo limevamia likiwa na formation yake inayojulikana, na sasa hivi linapigana na jeshi ambalo formation yake haijulikani. Kwa hiyo ni rahisi sana kuwalenga askari wa urusi kuliko kuwalenga skari wa Ukraine. Ndiyo maana sasa hivi majeshi ya urusi kama kawaida yao wao wanalipua kila wanachoweza. Muda mfupi uliopita Putin anakubali usuluhishi ambapo siku chache zilzopita alikuwa ajifanya mbabe kama siyo kuelemewa na aibu.
Ukali wa jeshi haupimwi kwa wingi wa silaha hata siku moja. yeye baada ya kulimbikza silahal nyingi aliamini kuwa Ukrainbe ni keki tu kwake. Anataka kujenga USSR tena