Kiev airport under Russia controlHuo wote ni mkwara tu ila mpambano ukianza(kama watafika huko) baada ya muda ndio tutajua nani ni nani.
Urusi aliipiga Georgia wakati gani?Na huyu bahati yake kakutana na wazee hawa Wapole!!!! Angekutana bush na hakika mpaka dakika hii asingekanyaga iyo ardhi ya Ukraine
Kww hiyo ni sahihi US nae kupindua na kuweka maraisi wake?Putin lengo lake ni kumpindua Rais wa Ukraine aliekuwepo na kuweka puppet wake .Urusi wanataka kuweka Rais mpya Ukraine atakaefuata maagizo ya Putin.
Wapi nimesema ni sahihi ?Sijawahi unga mkono US katika ushetani wake alioufanya kule middle east.Kww hiyo ni sahihi US nae kupindua na kuweka maraisi wake?
.Katika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, bai ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii ni katika hata ngumi za mitaani au mashuleni.
Vitisho mara nyingi hutumika kwa lengo la kumuogopesha mpinzani au adui asianzishe mapambano kwasababu mtoa vitisho anajua mpambano ukianza hatoweza kumshinda adui au mpinzani wake hivyo ni bora kujihami kwa kuhakikisha mapambano hayayokei na hiki ndio anachokifanya Puttin.
Mpambano utachukua muda mrefu tofauti na tulivyoona kwa kina Saddam na wengine, ila mwisho wa siku Russia atashindwa bila kujadili Marekani ataingia pekee yake au na washirika wake wa NATO.
Mbali na teknolojia, uwezo wa kiuchumi katika vita ni moja ya factor muhimu katika kuamua mshindi wa vita na uchumi wa Russia sio wa kuulinganisha na ule wa Marekani na washirika wake wa Ulaya.
Vile vile Marekani na Ulaya wataanza kuiwekea vikwazo Russia kama njia ya awali ya kuidhooifisha kiuchumi kabla ya kuingia katika vita halisi iwapo watafika huko.
Puttin anawaza makombora na zana zake zingine za kijeshi ila wenzake wana-consider all other factors na kujipanga kabila hawajaingia katika uwanja wa vita.
Hata kama vita isipotokea, wamerekani kwa kushirikisha na mataifa ya Ulaya, watafanya kila njama kumuondoa Puttin kwani kwa ssaa ni tishio kwao na hawatakubali aendelee kubaki madarakani.
Time will tell.
Labda hujui,, Russia ana silaha kali kuzidi US hasa makombora,,
Marekani wao wana ndege kali kuzidi Russia, yaani for show,, lakini kwenye utendaji kazi, ndege za Russia zina firepower kubwa kuliko ndege za marekani,
Hata ukicheki performance ya ndege za mrusi syria ndo ziliwakalisha chini ISIS,
Marekani wanaweza kufanya mashambulizi sort 30 per day,
Mrusi yeye alikuwa anapeleka hadi sorties 100 kwa siku huko syria,, na hapo marekani anatumia hadi ndege ziko katika aircraft carrier,
Ndege ya mrusi ilikua inaweza kunyanyuka Russia na kuachia kombora ikiwa huko huko anga la Russia, na kombora likaja kupiga syria,, umbali wa kama km 5000
Mwenzio Putin anapokea hata taarifa za kiinterejensia kutoka Marekan anajua nguvu na uwezo wa siraha za Marekan china North korea maana some of them pia kawauzia technology kwamba wewe unajua sana kuliko PutinPutin mjinga, angekua na akili angeanza vita ya maneno kwanza shida yake anaamini ana mipango madhubuti dhidi ya wenzake akishindwa kujua kua akili ya wenzake inawaza nini
Ijapokuwa Ukraine kwa kiasi anajitahidi kujibu mapigo ila ana wakati mgumu sana. Urusi imeshambulia kambi zake silaha nyingi zimeteketea, amedhibitiwa kwenye anga, Urusi inateka uwanja wa ndege in case hivyo hatapokea msaada wowote. Na maeneo mengi yanaendelea kuwa chini ya Mrusi.Russian Defense Ministry: As a result of Russian attacks, 74 ground targets of Ukraine's military infrastructure were deactivated, including 11 air force airports, 3 command posts, a naval base and 18 radar stations of the S-300 and Buk-M1 defense systems. It has suffered heavy casualties from Russian airstrikes on dozens of targetsView attachment 2129843
Mkuu futa hii picha[emoji16][emoji16]View attachment 2129807
Sasa Kama hana akili asiambiwe ,, aliye kuambia mtu akiambiwa kakosa akili ilhali Hana Akili kweli ninani !?Kwani hauwezi kuchangia bila kumuattack mleta maada ?Kwa nini umuambie mleta maada hana akili ?