kwa mbaaaaali, maandalizi ya kuungwa mkono na the coming WW3..........Kumbe Tanzania si haba .....kwenye ulimwengu huu Hadi mwamba putin ametukumbuka
Katika ujumbe huo amesema Tanzania na urusi Wana uhusiano wa urafiki wa muda mrefu hivyo anawatakia watanzania wote mafanikio tele
Mimi ni nani ....nipinge kuwa sisi tunaheshimika View attachment 2201697View attachment 2201699
View attachment 2201690
Si kawaida hii kitu! Au ziara ya mama yetu huko kwa wababe wa NATO alikutana na nani?Kumbe Tanzania si haba .....kwenye ulimwengu huu Hadi mwamba putin ametukumbuka
Katika ujumbe huo amesema Tanzania na urusi Wana uhusiano wa urafiki wa muda mrefu hivyo anawatakia watanzania wote mafanikio tele
Mimi ni nani ....nipinge kuwa sisi tunaheshimika View attachment 2201697View attachment 2201699
View attachment 2201690
AiseeSi kawaida hii kitu! Au ziara ya mama yetu huko kwa wababe wa NATO alikutana na nani?
Ukweli ni upiiSi kweli
... Putin huwa anaongea Kiingereza aka kibeberu siku hizi?Amina tumepokea Kwa mikono miwili.tunamuombea aendelee kupata ushindi
Anauwezo wa kuongea kiingereza... Putin huwa anaongea Kiingereza aka kibeberu siku hizi?
... kwanini anaenzi kibeberu?Anauwezo wa kuongea kiingereza
Aah wapi ha diaspora wanaonekana wana njaa sana .mama na msafara wake waliondoka na mabegi yaliyojaa dolaHilo 'futari' kaandaliwa na uvccm dayaspora!