Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

Kumbe Tanzania si haba .....kwenye ulimwengu huu Hadi mwamba putin ametukumbuka

Katika ujumbe huo amesema Tanzania na urusi Wana uhusiano wa urafiki wa muda mrefu hivyo anawatakia watanzania wote mafanikio tele

Mimi ni nani ....nipinge kuwa sisi tunaheshimika
IMG-20220426-WA0010.jpg
IMG-20220426-WA0009.jpg


FB_IMG_16509931982079145.jpg
 
... fax imeelekezwa Dar es Salaa au Washington? Maana addressee at this moment yupo DC! Sijui kama anafahamu hilo.
 
Back
Top Bottom